Kuna watu wanaona mbali na wengine wanaona matumbo yao, CHADEMA iliona mbali sana kipindi cha bungeni wakiwepo na mpaka leo kutokuwa hapo

Kuna watu wanaona mbali na wengine wanaona matumbo yao, CHADEMA iliona mbali sana kipindi cha bungeni wakiwepo na mpaka leo kutokuwa hapo

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Marehemu ruge is best sio huyu majizzo.

Marehemu ruge ana kwambia mungu na teknolojia ndio vitakuumbua kwa dunia ya sasa.

Ni kweli kabisa ndio maana kufanya interview na Odema inabidi kufanya mazoezi ya kukumbuka ukweli na uwongo.

Kipindi kile bunge lilikuwa na manguri na mabishano makali ila kutokana na serikali mbovu ambayo sasa inawatafuna wenyewe na kuwa vihoro.

Bunge lile liliona mengi ila wengine wakaona matumbo yao,Embu kama marehemu ndungai mpaka sasa angekuwepo na wengine walio pitisha sheria mbovu ili wajionee.

Kama kungekuwa na uwezo hapa Jamiiforum Moderator tengeneza platform tuwa kumbushe ya nyuma sio bungeni hata maono watu waliyotoa kwa mtido wa video hata picha zenye kunukuliwa na vyombo vya habari au mtu.
 
Back
Top Bottom