Kuna watu wanaongoza kwa ban

Kenzy na snipes ni avatar zao tu mm niliiweka wakabadiri nikawapa mods za uso wakanipa short break ya 30mins
Hawa ngoja wawe ban maana kama wanaandika vitu ambavyo sivyo haileti mantiki ni afadhali wawe ban tu.
 
Mkuu si uchochezi hata kidogo ni muhimu kupunguza ukali wa maneno.
HAkuna uchochezi hapa penye kweli tuseme kweli si kwamba ukisema unaambiwa eti huo ni uchochezi, Acha Watanzania tuwe huru kwa kuwakilisha maoni yetu bhana.
 
Hivi kwa mfano imetokea mtu kakutukana ukam spam utajuaje kama umefanikiwa kumripot kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…