Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Siku hizi umepotea hata comments zako sizioniKuna siku nilipigwa ban hadi leo sina hamu kabisa nayo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi umepotea hata comments zako sizioniKuna siku nilipigwa ban hadi leo sina hamu kabisa nayo!
Hawa ngoja wawe ban maana kama wanaandika vitu ambavyo sivyo haileti mantiki ni afadhali wawe ban tu.Kenzy na snipes ni avatar zao tu mm niliiweka wakabadiri nikawapa mods za uso wakanipa short break ya 30mins
huu ni uchocheziHawa ngoja wawe ban maana kama wanaandika vitu ambavyo sivyo haileti mantiki ni afadhali wawe ban tu.
Daaaaah nna hamu na ban.... Hvunafanyaje mpk upewe ban?????????? Na unamjuaje mtu aliepewa ban
Em nipe mbinu ulifanyaje fanyaje mpk ukaipata?...mwenyewe nimetoka kwenye ban muda huu
Mkuu si uchochezi hata kidogo ni muhimu kupunguza ukali wa maneno.huu ni uchochezi
Umeacha punyeto?mwenyewe nimetoka kwenye ban muda huu
HAkuna uchochezi hapa penye kweli tuseme kweli si kwamba ukisema unaambiwa eti huo ni uchochezi, Acha Watanzania tuwe huru kwa kuwakilisha maoni yetu bhana.Mkuu si uchochezi hata kidogo ni muhimu kupunguza ukali wa maneno.
siku moja mojaUmeacha punyeto?
Nakuelewa mwenyekiti wa Chaputa humu Jfsiku moja moja