Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo online mkuu sio hewaniNamba mbili (2) kajiwekea tu kama avatar yake, yuko hewani
Yeah alikula ban huyo ila wangine noNi yeye huyo huyo raisi2020
Nilikuwa nimesahau I'd yake
Ahsante kwa kunieleweshaYupo online mkuu sio hewani
Nitolee ufyuzi wako mkuu. Mimi sio Rais20. Hata hivo kuna watu wawili tofauti ila wanatumia ID Moja ya Rais 2020. Try searchingNi yeye huyo huyo raisi2020
Nilikuwa nimesahau I'd yake
Tusi moja linaweza kukupa kombe la duniaBan ni mtu tu kijitakia!
Mimi siijui ban inasura gani hata
Ahsante pia bi mdadaAhsante kwa kunielewesha
Kabisa mkuuTusi moja linaweza kukupa kombe la dunia
Naww unataka ban etiKabisa mkuu
sheria za humu zipo wazi na rahisi kuzifuata
Nikihitaji ntapataNaww unataka ban eti
Hujui jinsi ya kupata bann
urakozeAhsante pia bi mdada
Urakoze kushima wa mukobwaurakoze
mwasita mojaKila nikilog in jf nakuta huyu mtu kalimwa ban anaitwa
1.Kenzy
2.snipes
3.rais20
Yaan lazimaa sijui huwa wanaandika nini hawa watu mpaka wanafungiwa hasa Kenzy ,,,kama nawe unawajua wengine watajee
Vipi, wabakizwa he ndima?mwasita moja
Ulifanya kosa gani?Nlipigwa ban toka mwaka juzi, sijui ntaachiwa lini..!!
nakwambia we acha twende kule chembaVipi, wabakizwa he ndima?
I'd = IDNi yeye huyo huyo raisi2020
Nilikuwa nimesahau I'd yake