Kuna like za bure kwny uzi maalum.Kitu nimekigundua hii JF kuna watu hata wa comment ''ahahahha'' yaani wacheke ama hata kuweka nukta tu kwenye comment zao wanakula like za kutosha.
Namaana gani? like zinatoka kwa kufahamiana na umaarufu na siyo pointi ama hoja atoazo mtu.. mwingine hata aandike pointi kiasi gani raia wanapita kama hawaoni tetteteehh..
Like za hivi zinaenda sana kwa Ke sijui ndo njia mpya ya kupata attention kutoka kwao. wanaJF kuweni fair kutoa like..
Wozaaaaaaa ila wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahahahahaaaaaaaa.
Kuna mwingine alisema uzi wake unabuma baadhi ya member wakicomment.
Mnachekesha sana aisee.
Likes japo maana yake halisi ni ''Kupongeza" mimi naitumia pia kama kumpa mtu ujumbe kuwa nimepita sehemu aliyopita yeye na yeye akija kuangalia notification ya like niliyompa ataweza kuja kusoma nilichokiandika pia.
Nyota hiyo nikisema niandike na uzi mweeeee kama na wewe una uzi wako kwa wakat huo lazma ubumeeeekama wew Demmis hata ucheke tu like zinakufuata
Kumbe umeiona like yangu hatimaye umekuja kusoma nilichoandika eee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wozaaaaaaa ila wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Leo mambo ni fireee simba wakifunga napost picha yangu jfKumbe umeiona like yangu hatimaye umekuja kusoma nilichoandika eee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaa.Nimeiona Twitter, mtu anaejulikana akiandika hata ujinga watu wanasupport kwa kumpa like zaidi ya 1k.
Kula like ukishiba nambie wozaaaaaHahahaaaa.
Mimi ambaye sio mkongwe na mpenzi sana wa Twitter naweza kukaa na notification za twitter hata kwa siku mbili sijazifungua, nikizifungua pia naishia kuretweet tu.
Hizo like naziona tu watu wanavyomwagaiana hasa kwa wale wanaojuana na kuzoeana
Shabikia na nafasi yangu ya ushabiki, kwa sasa nishaacha ushabiki wa mpiraLeo mambo ni fireee simba wakifunga napost picha yangu jf