MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,278
- 3,023
Kitu nimekigundua hii JF kuna watu hata wa comment ''ahahahha'' yaani wacheke ama hata kuweka nukta tu kwenye comment zao wanakula like za kutosha.
Namaana gani? like zinatoka kwa kufahamiana na umaarufu na siyo pointi ama hoja atoazo mtu.. mwingine hata aandike pointi kiasi gani raia wanapita kama hawaoni tetteteehh..
Like za hivi zinaenda sana kwa Ke sijui ndo njia mpya ya kupata attention kutoka kwao. wanaJF kuweni fair kutoa like..