Nyingine hiyo chukua mkuu!ukiona hii comment weka like nnakazi nazo for future use
Ni pongezi.Dah....
Msaada; like ni nini wakuu? 😛
Aiseee why?Shabikia na nafasi yangu ya ushabiki, kwa sasa nishaacha ushabiki wa mpira
YeaaaaaaaahHahah!! Aisee
Chukua na weweNyingine hiyo chukua mkuu!
Sehemu ambayo ni ngumu kupata like ni jukwaa la Siasa.Kula like ukishiba nambie wozaaaaa
Ni kweli kabisa. Yaani wale jamaa wanapeana like kwa kujuana hasa ukiwa mkeleketwa wa vyama vya siasa.Hahahaaaa.
Mimi ambaye sio mkongwe na mpenzi sana wa Twitter naweza kukaa na notification za twitter hata kwa siku mbili sijazifungua, nikizifungua pia naishia kuretweet tu.
Hizo like naziona tu watu wanavyomwagaiana hasa kwa wale wanaojuana na kuzoeana
Shemu hii furaha yako siri yake ni nini?Yeaaaaaaaah
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nyota hiyo nikisema niandike na uzi mweeeee kama na wewe una uzi wako kwa wakat huo lazma ubumeeee
Aiseeee wana vijiba vya rohoooSehemu ambayo ni ngumu kupata like ni jukwaa la Siasa.
Kuna watu huwa hawapati like kabisa kisha ni waunga mkono upande fulani.
Sina uhakika kama waweza fanya hivyo.Leo mambo ni fireee simba wakifunga napost picha yangu jf
Simbaaa simbaaa leo wakifunga yanga na picha yangu napost jf wozaaaaa yeaaaaaaaaahShemu hii furaha yako siri yake ni nini?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mambo mswanoooo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pia ukiwa na follower wengi nayo inasaidia kupata hizo like maana ukipost kila aliyekufollow atapata notification ya tweet yakoNi kweli kabisa. Yaani wale jamaa wanapeana like kwa kujuana hasa ukiwa mkeleketwa wa vyama vya siasa.
Subir uonee mambo ni mswanoooo wozaaaaSina uhakika kama waweza fanya hivyo.
Sina sababu maalumAiseee why?
Aisee hii ahadi yako ni nzito sana shem, usisahau kunitag basiSimbaaa simbaaa leo wakifunga yanga na picha yangu napost jf wozaaaaa yeaaaaaaaaah