Kuna watu wanapata like humu za ajabu

Kuna watu wanapata like humu za ajabu

Hahahaaaa.

Mimi ambaye sio mkongwe na mpenzi sana wa Twitter naweza kukaa na notification za twitter hata kwa siku mbili sijazifungua, nikizifungua pia naishia kuretweet tu.

Hizo like naziona tu watu wanavyomwagaiana hasa kwa wale wanaojuana na kuzoeana
Ni kweli kabisa. Yaani wale jamaa wanapeana like kwa kujuana hasa ukiwa mkeleketwa wa vyama vya siasa.
 
Ni kweli kabisa. Yaani wale jamaa wanapeana like kwa kujuana hasa ukiwa mkeleketwa wa vyama vya siasa.
Pia ukiwa na follower wengi nayo inasaidia kupata hizo like maana ukipost kila aliyekufollow atapata notification ya tweet yako
 
Back
Top Bottom