Kuna watu wanapata like humu za ajabu

Kuna watu wanapata like humu za ajabu

Habari za Like(s) imekua hotcake mwaka huu..

Tumia app ili usiumie roho mkuu maana app itaonesha kila mtu amekula likes 5 tu.
 
Keshaniona bashite
Nilikutana nayeee hapa
image_search_1524928891207.jpg
 
Kitu nimekigundua hii JF kuna watu hata wa comment ''ahahahha'' yaani wacheke ama hata kuweka nukta tu kwenye comment zao wanakula like za kutosha.

Namaana gani? like zinatoka kwa kufahamiana na umaarufu na siyo pointi ama hoja atoazo mtu.. mwingine hata aandike pointi kiasi gani raia wanapita kama hawaoni tetteteehh..

Like za hivi zinaenda sana kwa Ke sijui ndo njia mpya ya kupata attention kutoka kwao. wanaJF kuweni fair kutoa like..
Njoo uzi wa like utakula like mpaka ukimbie
 
Khaa!! Hivi kuna watu wanasaka likes humu, nyie ndio mnakuwa na stress zisizo na kichwa wala miguu, stress za kujitakia..
So ukiona mtuu kapata likes nyingi kwa kukomenti vinukta nawe umeweka koment yako unayohisi ya maana ndio roho inakuuma eeh!! Wacha kucomplicate maisha, maisha yako so eazy.. Badala ya kuondoka bila stress unaishia kuzibeba hapa jf
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Like zenyewe tano tu unalalama na ingekuwa zile za fb na Instar zinafika 5000
 
Back
Top Bottom