Kuna watu wanasemaga Magari ya Nissan yamekaa kizee zee sana. Ona Nissan Z!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Nissan Z ni bonge la Sport car, kwa waliojipata. Nasema waliojipata kwasababu hii inafaa kua second car, hauwezi itegemea kaa gari ya familia au ya kupigia misele daily.



Hizo kwenye picha za juu ni latest gen ya 2022+ ila kama budget-wise unaweza kucheki gen ya nyuma yake Z370 Z

Hii 370Z yenyewe ni ya mwaka 2009 - 2020!

Ukitaka kurudi nyuma zaidi unaweza cheki 350Z yenyewe ya 2003-2009.
Kwa wapenzi wa 2 seaters wasiomudu Germans au wasiopenda Toyota 86 unaweza zicheki izo.
 
Mwenyewe XTrail mwenye nayo anauza aseme hapa
 
Mafundi Hadi watoke Kenya na south Africa
Zinatengenezeka Boss. Injini zake zinaingiliana na Murano, kama fundi anaweza kutengeneza Murano sidhani kama ataishindwa hiyo.

Tatizo ni drift car, huwezi kuitumia kama "daily" ndo maana Bongo zipo za kuhesabu.
 
350z naipenda Ila lile jina lake la Fairlady Z sio poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…