Baba sio ndugu yako?
Baba ni mzazi wako. Huo msemo ni specific kwa ndugu. Sio kwa watoto . Watoto kumtegemea baba kiuchumi ni wajibu wa baba.We umekariri hujataka kuelewa, unasubiri baba akuite ndugu ndo ujue ni ndugu yako
Ni msemo wa kuhamasisha watu wachakarike kutafuta vyao sio kukaa kaa tu
Hapa Tanzania hamna mifano ya kueleweka hadi mkimbilie nje ya Afrika?Mtoe Kim kardashian hapo hakuna kitu weka
Walmart
Ford motor company
Mars inc
Na wengine weng
Mimi sina muda wa kutafuta vyangu, nipo na muda mwingi wa kuendeleza vya mama na baba...Ni msemo wa kuhamasisha watu wachakarike kutafuta vyao sio kukaa kaa tu
Wewe ni mwanaume wa dar.Mm nategemea cha bimkubwa, afe nirithi nyumba asipokufa kwa wakat naotaka mm bc ntamuua mwnyw 😎
Upo sahihi mkuuWewe ni mwanaume wa dar.
Tabia zenu hizi