Kuna watu wapo kwenye taasisi lakini wanashindwa kujitambua

Kuna watu wapo kwenye taasisi lakini wanashindwa kujitambua

Mkuu umeandika Uzi mrefu lakini umeshindwa kufanya utafiti na kujua hii picha ilipigwa lini?

Hii picha sio ya jana maana mi niliiona imepostiwa toka siku singida anachezq na azam sasa wewe kwa kukurupuka kwako unaundia hoja kitu ambacho hujui kimetokea lini?
Mashabiki wa Simba wamebakiwa na akili ya kukumbuka kopo la kutawazia wakishakunya basi so wasamehe mkuu YANGA inanunua mechi kibao ikiwemo yakwao mambumbumbu na ile ya Africain kule Tunis forgive and forget please [emoji120]
 
Angalizo : Huyu ni utopolo mwenzenu tena lia lia. Kaongea ukweli kabisa wenye mantiki mujarabu.
 
Binafsi picha kwangu co ishu,ni mwenye akili mbilikimo pekee ambaye angeamini Singida kupata japo sare dhidi ya Utopolo .Hii mechi ilikuwa ni ngonjera tu.
 
Back
Top Bottom