Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Tatizo la watu kutembea wakiwa usingizini(sleepwalking) ambapo mtu anakuwa anafanya mambo mbalimbali akiwa usingizini huwa common sana kwa watoto wadogo.
Huwa inasemwa kwa watu wazima wenye hili tatizo wanaweza kuamka wakafanya mambo mbalimbali wakiwa usingizini ikiwemo kupika na kula kabisa bila kuwa akilini.
Umewahi kuugua ugonjwa wa sleepwalking(kutembea usingizini) ukiwa mtu mzima au kuna watu wazima unaowafahamu wanaougua hili tatizo na huwa linaishaje?