Kuna watu...

Hivi kwani hawa marafiki ni wa kazi gani?
 

Yamkini wewe ni fundi wa kulalamika sana na kutaka kutendewa mema ili hali wewe huwezi kuwahifadhi walio marafiki zako.Isitoshe urafiki una viwango si kila rafiki anayajua yote ya kwako moyoni.Ni kawaida wanadamu pamoja na wewe kupenda sana kupokea pasipo kutoa,Kupenda sana kuheshimiwa pasipo kuheshimu. Una kasoro za wazi ambazo wewe hutaki kujirekebisha unategemea rafiki gani wanakuvumilia tuu ili hali wewe unawaumiza.?Urafiki ni gharama ya kujitoa na kumkubali mwenzako, Vivyo hivyo kama anavyokukubali pia.LAKINI ELEWA DUNIANI HAKUNA FREE GIFT hata siku moja.Urafiki nayo ni gift kwa hiyo usitegemee kuwa ni free tu una gharama zake pia.
 
Hivi kwani hawa marafiki ni wa kazi gani?

wa shida na raha. Shida ni pale umbea na ufukunyuku unapotanda urafiki huo na raha ni pale unapokuwa na hitaji hao hao wakasimama nawe bega kwa bega, kwa hali na mali.

Kiujumla marafiki wanahitajika hata katika kubadilishana mawazo. Cha muhimu ni kuwajua marafiki zako na jinsi ya kuwatumia.
 
Aiseeeee!Sure....some of us are like that...we take but we never give!!
 
Well asanteni wote kwakuchangia ...surely wapo wengine waliojifunza kitu au viwili na kwa hilo sina budi kushukuru!
 

Wapo wanaosema hawana marafiki jee hao wamepungukiwa na kitu?
 
Lizy hujanijibu ww unachakachulika baada ya muda gaaaniiiii..??? Makosa mfanye wenyew mje kulialia hapa..
 
Lizy hujanijibu ww unachakachulika baada ya muda gaaaniiiii..??? Makosa mfanye wenyew mje kulialia hapa..
We kichwa maji kweli...urafiki na kuchakachuana wapi na wapi!?
 
Two in one. Pole sana dear ila usifunge mlango wa marafiki pamoja na yote hayo bado tunawahitaji ktk maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…