A
Anonymous
Guest
Baadhi ya Watumishi ajira mpya wa Halmashauri ya wilaya ya MBULU hawajalipwa hela ya kujikimu Kuna watu waenda kumaliza mwaka sasa hela imekuwa kaa la moto wanalipana Kwa kujuana.
Kuna watu wanapaswa kulipwa Kwa rate ya Tsh 150,000/= wengine Tsh 120,000/= na Tsh Tsh 80,000/= kulingana na kada na elimu uliyonayo lakini waliolipwa walipewa flat rate ya Ts 80,000/= badala ha Tsh 120,000/= au Tsh 150,000/= kama wanamlipa mtu Kwa Nini wasilipe kinachotakiwa?
Tunaomba TAMISEMI ishughulikie Hili haraka