KERO Kuna watumishi hawajalipwa hela ya kujikimu MBULU DC

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Baadhi ya Watumishi ajira mpya wa Halmashauri ya wilaya ya MBULU hawajalipwa hela ya kujikimu Kuna watu waenda kumaliza mwaka sasa hela imekuwa kaa la moto wanalipana Kwa kujuana.

Kuna watu wanapaswa kulipwa Kwa rate ya Tsh 150,000/= wengine Tsh 120,000/= na Tsh Tsh 80,000/= kulingana na kada na elimu uliyonayo lakini waliolipwa walipewa flat rate ya Ts 80,000/= badala ha Tsh 120,000/= au Tsh 150,000/= kama wanamlipa mtu Kwa Nini wasilipe kinachotakiwa?

Tunaomba TAMISEMI ishughulikie Hili haraka
 
Tamisemi hawana muda huo,kikubwa pambana udai haki yako ikiwezekana kashikane nao mashati hela zipo ila wewe sio kipaumbele chao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…