Kuna watumishi wanajua kukopa nyie!

Kuna watumishi wanajua kukopa nyie!

Kumbuka kila mmoja hapo ana riba yake. Kwahiyo unaweza jikuta average ya riba ni kubwa kuliko ungetumia riba ya bank moja

Pia kila mkopo mmoja wa bank unakatwa bima na application fee. Ungechukua bank moja, ungekatwa bima + application fee mara moja.
Unavyofikiri wewe ni kwamba hayo madeni alikopa kwa mara moja
 
Unavyofikiri wewe ni kwamba hayo madeni alikopa kwa mara moja
Sijakuelewa swali lako. Ukisema ' kwa mara moja' una maana gani?

Ninachozungumzia mimi, kila bank inakukata bima na application fee. Kwahiyo ukichukua mikopo bank tofaut, maana yake utakatwa hizo pocessing fee mara nyingi. Ila kama angechukua mkopo wote anaotaka kwenye bank moja processing fee ingekuwa ndogo.

Mfano, kama kila mkopo anakatwa processing fee elf 10,, akikopa bank 5, atakatwa elfu 50.

Ila kama mkopo wote wa bank 5 angeenda kuuchukua kwa bank 1, maana yake angekatwa elfu 10. Hata kama ingeongezeka isingefika elfu 50.

Narudi kwenye swali lako, kama hajakopa mara moja, labda alikopa pale alipopata matatizo, sawa namuelewa. Ila kama mikopo yote imeenda kutumika kwenye jambo moja, mfano kujenga, angeweza kupiga hesabu akachukua mkopo mkubwa kwa bank moja ili apunguze makato yasiyo ya lazima
 
Anaona kukopa sehemu nyingi ni sifa sana kana kwmba atapewa cheti cha mkopaji bora…..Kwa mshahara huo kwenye ualimu hapo maana yake hakosi miaka 40+ kama hiyo hela hakuenda kufanyia productive issues automatically huyu ni ombaomba mtarajiwa!
Kuna sababu ya kufanya hivyo. Itakuwa akipata nyongeza ya mshahara anaenda kukopa
 
Sijakuelewa swali lako. Ukisema ' kwa mara moja' una maana gani?

Ninachozungumzia mimi, kila bank inakukata bima na application fee. Kwahiyo ukichukua mikopo bank tofaut, maana yake utakatwa hizo pocessing fee mara nyingi. Ila kama angechukua mkopo wote anaotaka kwenye bank moja processing fee ingekuwa ndogo.

Mfano, kama kila mkopo anakatwa processing fee elf 10,, akikopa bank 5, atakatwa elfu 50.

Ila kama mkopo wote wa bank 5 angeenda kuuchukua kwa bank 1, maana yake angekatwa elfu 10. Hata kama ingeongezeka isingefika elfu 50.

Narudi kwenye swali lako, kama hajakopa mara moja, labda alikopa pale alipopata matatizo, sawa namuelewa. Ila kama mikopo yote imeenda kutumika kwenye jambo moja, mfano kujenga, angeweza kupiga hesabu akachukua mkopo mkubwa kwa bank moja ili apunguze makato yasiyo ya lazima
Hapo alikopa mkopo mwingine kabla hajamaliza deni. Je ni bora ku top up au kukopa benki nyingine?
 
Hapo alikopa mkopo mwingine kabla hajamaliza deni. Je ni bora ku top up au kukopa benki nyingine?
Ukisoma vizuri comment iliyopita nilisema kama alikopa baada ya matatizo yanavyojitokeza basi ni sawa alivyofanya ila kama mikopo yote imefanya jambo moja, basi kugawa mikopo namna hiyo sio sawa.

Kuhusu top up, sijawai kuielewa kabisa. Ni ya ovyo tu
 
Maisha ni mahesabu tu watumishi wengi wanapokea kati ya 350k na 500k baada ya makato ila wanasomesha watoto shule ghali na kuendesha harrier tako la nyani kila siku nimesahau na kodi ya nyumba 500k wanalipa monthly😀z
 
Mwamba huyu hapa, take home ya kibazenga mno

Basic Salary 1,390,000
Take home 463,334

Mwamba kwelikweli
View attachment 3703267
Huyu hata hajakopa Bado ,Kuna kwamba amekopa Kwa miaka 12 na kabla hapo alikopa personal salary Ile wanadrwa Kwa account miaka 3 so Hadi Sasa hana hata jero ya salary anaishi Kwa posho na Maisha yanaenda 😂😂
 
Back
Top Bottom