pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,524
- 4,928
Unavyofikiri wewe ni kwamba hayo madeni alikopa kwa mara mojaKumbuka kila mmoja hapo ana riba yake. Kwahiyo unaweza jikuta average ya riba ni kubwa kuliko ungetumia riba ya bank moja
Pia kila mkopo mmoja wa bank unakatwa bima na application fee. Ungechukua bank moja, ungekatwa bima + application fee mara moja.
Hii inatokea umekopa halafu jambo lako halijakamilika halafu unakopa tena, ukipata tatizo mshahara hautoshi unakopa pengine....Huyo mwalimu naye punguani.kwa nini asikope bank moja sasa au alikuwa anafanya utafiti wa benk.alibakiza bank moja tu azjmalize bank zote nchin
Sijakuelewa swali lako. Ukisema ' kwa mara moja' una maana gani?Unavyofikiri wewe ni kwamba hayo madeni alikopa kwa mara moja
Kuna sababu ya kufanya hivyo. Itakuwa akipata nyongeza ya mshahara anaenda kukopaAnaona kukopa sehemu nyingi ni sifa sana kana kwmba atapewa cheti cha mkopaji bora…..Kwa mshahara huo kwenye ualimu hapo maana yake hakosi miaka 40+ kama hiyo hela hakuenda kufanyia productive issues automatically huyu ni ombaomba mtarajiwa!
Iliyobaki kakopea mtaani, akiipokea inapitiliza kwa kausha damu.Huyo mwalimu naye punguani.kwa nini asikope bank moja sasa au alikuwa anafanya utafiti wa benk.alibakiza bank moja tu azjmalize bank zote nchin
Hapo alikopa mkopo mwingine kabla hajamaliza deni. Je ni bora ku top up au kukopa benki nyingine?Sijakuelewa swali lako. Ukisema ' kwa mara moja' una maana gani?
Ninachozungumzia mimi, kila bank inakukata bima na application fee. Kwahiyo ukichukua mikopo bank tofaut, maana yake utakatwa hizo pocessing fee mara nyingi. Ila kama angechukua mkopo wote anaotaka kwenye bank moja processing fee ingekuwa ndogo.
Mfano, kama kila mkopo anakatwa processing fee elf 10,, akikopa bank 5, atakatwa elfu 50.
Ila kama mkopo wote wa bank 5 angeenda kuuchukua kwa bank 1, maana yake angekatwa elfu 10. Hata kama ingeongezeka isingefika elfu 50.
Narudi kwenye swali lako, kama hajakopa mara moja, labda alikopa pale alipopata matatizo, sawa namuelewa. Ila kama mikopo yote imeenda kutumika kwenye jambo moja, mfano kujenga, angeweza kupiga hesabu akachukua mkopo mkubwa kwa bank moja ili apunguze makato yasiyo ya lazima
Ukisoma vizuri comment iliyopita nilisema kama alikopa baada ya matatizo yanavyojitokeza basi ni sawa alivyofanya ila kama mikopo yote imefanya jambo moja, basi kugawa mikopo namna hiyo sio sawa.Hapo alikopa mkopo mwingine kabla hajamaliza deni. Je ni bora ku top up au kukopa benki nyingine?
Haya kakate vitunguu mamaSijaona faida ya kuweka lisisti ya mshahara wa mtu hapa jamvini. Tanzania tunapenda sana kujadili vitu vya kijinga. Hata kama angebakiza mia mbili wewe kinakwasha nini
Unataka kumchangia au
Huyu hata hajakopa Bado ,Kuna kwamba amekopa Kwa miaka 12 na kabla hapo alikopa personal salary Ile wanadrwa Kwa account miaka 3 so Hadi Sasa hana hata jero ya salary anaishi Kwa posho na Maisha yanaenda 😂😂Mwamba huyu hapa, take home ya kibazenga mno
Basic Salary 1,390,000
Take home 463,334
Mwamba kwelikweli
View attachment 3703267