Kuna wawekezaji zaidi ya watatu wapo tayari kuichukichukua Simba kwa thamani ya billion 50

Kuna wawekezaji zaidi ya watatu wapo tayari kuichukichukua Simba kwa thamani ya billion 50

Acha umbumbumbu mleta mada,hili jambo ni la msingi sana acha ushabiki maandazi
 
Eti kuna muwekezaji alitaka kutoa bilioni 50 huyo muwekezaji atakuwa punguwani hii timu ambayo ili tujae uwanjani mpaka kingilio kiwe cha 2000/, hii timu ili tujae uwanjani mpaka manara atubembeleze,atudanganye kuwa hata barcelona akija atapigwa kwa mkapa ndiyo useme muwekezaji aweke 50 bilioni
 
hivi najua thamani ya nembo ya klabu,simba kubadirisha mfumo ni sahihi ila mchakato ulifanywa kihuni Mo alianza kuwapa simba pesa kabla ya mchakato rudia ugomvi wa Mo na kina kaburu baada ya kysaini mkataba wa sport pesa
 
Haya sasa baada ya Mo kubebebwa mwaka Jana kwenye utaratibu wa kutafuta mwekezaji kwa kuwahonga viongozi wakiokuwa wakiendesha hilo zoezi
Mambo yanazidi kuibuka
Kutoka jikoni ni kwamba kuna wawekezaji waliweka billion 50 mezani ila huyu tuliyenaye akafanya fitina akaichukua timu kwa billion 20 tu tena pesa yenyewe hajatoa hata senti tano

Habari kutoka kwa wajumbe wa simba wasioridhishwa na uhuni wa muwekezaji wanasema mpaka sasa kuna wawekezaji zaidi ya watatu wapo tayari kutoa billion 50 tena bila mashariti kama Yale anayoshinikiza ndugu Mo

Wenyewe wanasema wanahitaji nembo ya timu tu kuendesha club wala hawahitaji Mali zote za Simba

Wanachama wengi tulitilia mashaka uwekezaji wa Mo kwani amekuwa akiendesha club kwa siri kama mke wake

Baada ya nkwabi kumshutikia hatua za mwisho kuwa mo hana lengo zuri sasa anapanga kutumia mamilon ya pesa kuwahonga wapiga kura ili nkwambi aonekane anaikwamisha timu ili amrudishie rafiki yake try again madarakani

Mo amebaki na fisadi magori tu anayemuunga mkono pamoja na wajumbe wawili upande wa club

Jays ndugu zangu Simba tuendelee na huyu mwekezaji kanjanja au tuchague wawekezaji wapya ambao wataweka billion 50 mezani
Waambieee waweke huo mzigo kwenye akaunti ndio tuongee!
 
We jamaa mbuzi kabisa watoe billion 50 wampe nani ?
 
Inawezekana VP mtu mmoja akawa na timu mbili ligi kuu?
FIFA hawaruhusu lkn usisahau TAMISEMI wanamiliki KMC na Mbeya City! Na pia Jeshi linamiliki Ruvu JKT na Ruvu Shooting! Na TPL ya mwaka huu - Mambo ya Ndani watakuwa na timu 2.... Prisons na Police...

Hizi timu zitakuja kuonyesha athari zake siku ikitokea timu 1 inataka kushuka afu inamaliza mechi ya mwisho na timu mwenza za wizara 1 ambayo haipo katika hatari ya kushuka... Matokeo yatapangwa, the same inaweza kutokea kwenye Ubingwa!
 
We mleta mada acha masihara kwenye mambo ya msingi. Hivi unaijua billioni 50 kweli au umetumwa tu kuandika hapa. Kwa taarifa yako biashara ya mpira huwa wanawekeza wale matajiri wenye mapenzi na mpira tu tena wapo wachache sana kwa sababu mpaka upate faida kwenye mpira inachukua miaka si chini ya mitano toka senti ya kwanza iwekezwe. Ndo maana tajiri mmoja juzi kakataa kununua/kuwekeza kwenye timu moja kubwa hapa nchini lakini kasema ataisaidia pale itakapohitajika kutoa msaada.

Juzi nilitoa mfano hapa wa uwanja wa Gwambina uliojengwa kwa shs. 800 milioni. Umeshajiuliza Simba na Yanga zimewahi kushika milioni 800 mara ngapi? Mbona hazina hata viwanja vya mazoezi vya vumbi tu kama Kinesi? Je muda wote huo kabla Mo hajaingia Simba kulikuwa hakuna viongozi na Kilomoni hakuwa mdhamini?

Ukweli ni kuwa Mo kajilipuwa kuwekeza Simba. Ukitaka kuamini angalia wakati Manji anadhamini Yanga kulikuwa na Mzee mmoja alikuwa anajiita Abromovic na alisema wazi mbele ya vyombo vya habari kuwa kuna wafadhili/wawekezaji kibao wanahitaji kuwekeza Yanga hata Manji akiondoka Yanga. Lakini Manji alipoondoka Yanga yeye na genge walitimua mbio na migogoro ikaisha wakamwachia timu Charles Boniface na Nyika wanahangaika na mishahara ya akina Obrey Chirwa.

Kimsingi mgogoro wa Simba naona tu unakuzwa kwa kuwa mirija ya ulaji kupitia usajili na kamati ya ufundi/ulozi imefungwa. Usajili unafanyika kitaalam unamhitaji mchezaji unaangalia bei yake kwenye website unawasiliana na wakala wake mnajadiliana bei kama kuna punguzo kidogo basi biashara imeisha. Na wazee wa kamati ya ufundi/ulozi hakuna tena bajeti basi ndo hizo vurugu unazoziana. Lakini wote watashindwa tu kwa sababu hawana nia nzuri.

Leo taifa stars inasingizia uzoefu lakini Madagascar wametuumbua. Hawa hawa Madagascar tuliokuwa tunawapiga goli 5 na kuendelea miaka michache iliyopita lakini leo wanakwenda robo fainali CAF. Hatuwezi kuwa na timu nzuri ya taifa bila kuwa na timu nzuri kwenye ligi yetu. Na iwapo Mo atajiondoa ujue soka la Tanzania litarudi nyuma kwani hakuna mwekezaji atayekuja kuwekeza tena tutabaki na Simba kamfunga Yanga na Yanga Kamfunga Simba basi. Mo apewe sapoti na Yanga nayo itafutiwe mwekezaji tuwe kama As Vita na TP Mazembe ndio mpira utakuwa na timu yetu ya taifa itakuwa vizuri kutokana na ushindani wa kweli wa vilabu vyetu.
 
Back
Top Bottom