Kuna wengine hatujui tulipokosea

Pole kwa yote Dadakidoti Ila nachoweza kusema kwa wema wako hautakiwi kuwa single mother na kwa hili nalivalia njuga lazima nikuoe umetaka au haujataka haiwezekani upitie shida zote hizo alafu ukose mwenza wa maisha .
Fungua PM tupange mahali na Mambo mengine ,Mimi nakupa kabisa huyo mtoto nitamlea na rasmi atakuwa wangu .

Ndugu min -me na Kaka mkubwa Intelligent businessman shemeji yenu ni huyu hapa .Itikieni na iwe πŸ™πŸ™
 
Ko una taka kuutibu moyo, ambao hauja uvunjaπŸ™„πŸ€”.

Haya kwa vile wewe ni kaka angu, niko pamoja nawe.
Mbebe huyo Dadakidoti
 
Uje ukute huyo ni mwamba tu anatuchora hapa😁😁😁😁
 
haha haha jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…