Dadakidoti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2024
- 399
- 1,409
- Thread starter
-
- #441
asanteAisee, pole sanaa
ni hatma huwezi kukiepuka kikombeDunia ina mengi. Kuna ya watu ukiyasikia unasema yako ni afadhari. Pole sana. Mara nyingi wema hukutana na wabaya.
naona ndoa tunayo naomba uwe mshengaMama mchunga , inabidi tufanye jambo kuwaunganishaππππ
Naunga mkono hojanaona ndoa tunayo naomba uwe mshenga
team Dav polen... mepigwa na kitu kizito kama mwenyekitiUwiiiii Baba D vipi tena πnimeumia mimi huku π
haha cheza na hisia wewe πHapo ulikosea nawe ungeacha Move uendelee π π π mtu anakupikia msosi mzuri hivo hadi nazi π π π
sikia tu kwa mtu.We manka ungeweza ? Kupikiwa chakula ukitoka nje hutakiwi uonekane....... Yeeewoomiii π
Zile vacation zimeniuma sana Jamani kwamba zilienda bure kabisa πteam Dav polen... mepigwa na kitu kizito kama mwenyekiti
Ila usingemuacha bwana wewe ndo ulikua mama lao ujue.haha cheza na hisia wewe π
acha ziende. ila hazijaenda bure alinitumia fala yuleZile vacation zimeniuma sana Jamani kwamba zilienda bure kabisa π
wote ni masingle sasa yeye ni single papa na mimi ni single mom ngoma droo.Ila usingemuacha bwana wewe ndo ulikua mama lao ujue.
Rudianeni basi sasa, nawaomba jamaniwote ni masingle sasa yeye ni single papa na mimi ni single mom ngoma droo.
kucheza kwa kupokezana yeye ndo anateseka sasa kila akikutana na baba yangu lazima ajilizelize na mipombe yake.Ila usingemuacha bwana wewe ndo ulikua mama lao ujue.
Ila dada mpishi ni mshenzi kabisa π π πkucheza kwa kupokezana yeye ndo anateseka sasa kila akikutana na baba yangu lazima ajilizelize na mipombe yake.
labda kuzimu. sio katika sayari hii ya duniaRudianeni basi sasa, nawaomba jamani
Kidoti una hasira sana jamanilabda kuzimu. sio katika sayari hii ya dunia
haha alikuwa anampikia kila kitu chakula mpaka chakulaaa. jamaa akajisahau kabisa. mimi kanda ya ziwa tunapikia karanga nazi wapi na wapi πIla dada mpishi ni mshenzi kabisa π π π
Aseeh pole kwa changamoto kikubwa najua una plan zako nyingi ko hujasema unataka ushauri ....... Stiki kwenye plan zako na ndoto zako all the bestsikia tu kwa mtu.
mimi sina hasira ni mkimya na sio mpole. unaweza kunifanyia kitu nipo kama zoba tu nakuangalia. ila siku nikikutolea uvivu utajutaKidoti una hasira sana jamani
asante. najua Mungu atanisaidia kufikia malengo yangu.Aseeh pole kwa changamoto kikubwa najua una plan zako nyingi ko hujasema unataka ushauri ....... Stiki kwenye plan zako na ndoto zako all the best