Kuna wengine hatujui tulipokosea

Ya kweli ya kutunga!Kama ya kweli tiririka mfululizo.
Ni ya kutunga mkuu wala usijali sana! Unaona kuna mahali anasema alikuwa akiishi kwa babu mzaa baba lakini humo humo anasema tena mamake mkubwa alikuwa akija lazima aje kwa babu mzaa mama kunisalimia! Sasa huyu alikuwa akiishi wapi?
 
Simu niliweka mfukoni kipenzi ,Niko hapa klabuni si unajua Mimi ndiye think tank wa Kijiji niko nawapa habari motomoto kuhusu Fam na Lissu leo .

Nimevikalisha vizee vyenye meno mawili na nywele za kuhesabika navipanga hapa
Bila shaka ni kilabu cha gongo maana ngongo kupukutisha nywere ni sekunde tu plus kuvimbisha mashavu na tumbo
 
Ni ya kutunga mkuu wala usijali sana! Unaona kuna mahali anasema alikuwa akiishi kwa babu mzaa baba lakini humo humo anasema tena mamake mkubwa alikuwa akija lazima aje kwa babu maza mama kunisalimia! Sasa huyu alikuwa akiishi wapi?
wewe ndp hujaelewa. mama mkubwa alikuwa dada yake mama. akija kumsalimia mama yake lazima pia aje kwetu. baba na mama wanatokea sehemu moja tofauti ni vijiji tu mpendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…