Kuna wezi na matapeli wana vitambulisho na sare za Tarura feki wanatembea na boda au bajaji wanakamata madeni na wrong parking

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,283
Reaction score
23,443
Hawa matapeli wapo sana maeneo ya kariakoo na kinondoni!

Wanatumia bajaji au boda na wakati mwingine wanavaa na sare feki!

Popote ukikutana nao piga Kelele za mwano ni wezi hao!

Kila siku watu wanabuni mbinu mpya za wizi.
 
Je kama hao ndio 'original' alafu ukapiga kelele itakuaje ?
 
Hawa matapeli wapo sana maeneo ya kariakoo na kinondoni!

Wanatumia bajaji au boda na wakati mwingine wanavaa na sare feki!

Popote ukikutana nao piga Kelele za mwano ni wezi hao!

Kila siku watu wanabuni mbinu mpya za wizi.
Mkuu Mbona unatuharibia Sasa. Kulikuwa na haja gani kutuanika humu?

MIND YOUR OWN LIFE!

Nyau de adriz
 
Back
Top Bottom