Je kama hao ndio 'original' alafu ukapiga kelele itakuaje ?Hawa matapeli wapo sana maeneo ya kariakoo na kinondoni!
Wanatumia bajaji au boda na wakati mwingine wanavaa na sare feki!
Popote ukikutana nao piga Kelele za mwano ni wezi hao!
Kila siku watu wanabuni mbinu mpya za wizi.
Mkuu Mbona unatuharibia Sasa. Kulikuwa na haja gani kutuanika humu?Hawa matapeli wapo sana maeneo ya kariakoo na kinondoni!
Wanatumia bajaji au boda na wakati mwingine wanavaa na sare feki!
Popote ukikutana nao piga Kelele za mwano ni wezi hao!
Kila siku watu wanabuni mbinu mpya za wizi.