Mkristo hana Historian aliyo iandika, katika watu wenye kutunza kumbukumbu hakuna wa kuwazidi Waarabu, iwe wa nasaba au wa makazi.Sasa MTU anayesema Urusi inautetea Uislam huyo unamuona anaijua Historia kweli?
Alafu unaposema Wakristo jua ndio unazungumzia wenye huu Ulimwengu, wenye hiyo Historia yenyewe, ndio walioiandika, ndio wanayoiongoza Dunia.
Sasa wewe kama unaandika Kwa ushabiki kalia hapohapo.
Mkristo kaandika Historia gani na Hana chain inayo enda kwenye "Primary Source" ? Itakuwa hujui maana ya Historia, Kuna Historia na Kuna Historia za kutunga. Labda Historia ya Tanganyika.
Mtafute Mkristo yoyote au Myahudi yoyote mwenye kuweza tu kukutajia mababu zake Saba kwa kufuatana, halafu unakuja kutuambia wameandika Historia. Wametoa wapi.
Usilete habari za kitoto za wale walio andika kuhusu Historian ya muda na hawana Chain.
Wakristo wanaiongoza Dunia kwenye nini ? Labda kwa mambo ya kipumbavu na uhayawani.