Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

pumbavu, unadhani hao wanafanya hayo ukristo unawakubali? Ukristo uko huru kupembua na kung'amua yapi ni mafundisho sahihi na yapi ni abrakadabra. Kule ukiona mambo hayako sawa unaondoka kwenda kwenye mafundisho sahihi. Kwenye uislam hakuna uhuru wa kuachana mafundisho hayo imeaminishwa ni ya kweli daima na hayabadilishwi. Kuhama tu dini hiyo mtu anaogopa yasije yakamkuta makubwa
Rasmi huna akili..
 
Tukianza na hamza,na wale waliokuwa wanachoma makanisa na kumwagia tindikali mapadri kule zenji.
Hamza alikuwa imamu wa msikiti upi au wanaomwaga tindikali huyo padri?
Tunakupa mifano ya wachungaji kama Kibwetere wa Uganda alitia watu kibiriti, Victor Kanyari wa Kenya anashika wadada hadi maziwa video zake jicho pevu zipo, Bushiri wa malawi, tapeli maarufu Mwamposa anajaza hadi uwanja wa taifa, kuhani Mussa wa Kimara anayewatia wazezeta wa kuwadanganya mmerogwa. Hao ninaokupa watu wenye kundi la waumini kama timu za mpira.
Mlivyo mazezeta mnasema jina la Yesu lina nguvu. Ila ajabu iliyopo ukitamka wewe hautikisi hata sisimizi ila Mwamposa hadi akumwagie mafuta na maji ya uhai ya azam mapepo ndiyo yanawatoka😀.
 
IMG_7877.jpg
 
Kaangalie enzi izo Usifananishe na hizi za sasa..

Yesu hakuoa kabisa wala hakuwa na mwanamke ,we hyo amri ya kuoa way kuwa na mke umeitoa wapi?
Kwani mtume wa mungu anafuata enzi? Mtume anapaswa kufuata YALIYO SAHIHI na sio kufuata enzi...yasiyo sahihi anapaswa kuyakemea...

Enzi zile ushirikina ulikuwepo, lakini hakuufuata. Alifuata yaliyo sahihi , right?

Sasa ilikuwaje kwenye kuoa Asifuate yaliyo sahihi afuate enzi?

Ni ngumu sana kumtetea yule jamaa kwenye hii ishu ya kuoa katoto ka chekechea...labda ujitoe akili tu.
 
Tupe reference inayo sema hayuko sahihi au ndio ipo kwenye dictionary [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwani mtume wa mungu anafuata enzi? Mtume anapaswa kufuata YALIYO SAHIHI na sio kufuata enzi...yasiyo sahihi anapaswa kuyakemea...

Enzi zile ushirikina ulikuwepo, lakini hakuufuata. Alifuata yaliyo sahihi , right?

Sasa ilikuwaje kwenye kuoa Asifuate yaliyo sahihi afuate enzi?

Ni ngumu sana kumtetea yule jamaa kwenye hii ishu ya kuoa katoto ka chekechea...labda ujitoe akili tu.
Una hakika huyo aliyeoa alikuwa na umri miaka 9 ni sawa na zama za sasa ..ebu jaribu kucheza na zama then uje hapo wapo watu miaka ya ya 1930's wameolewa miaka 13 na ni Tanzania

Izo ni sheria kama hujui kwa sasa umri wa mtu mzima ni miaka 22 sio 18 ,wakilenga miaka 22 bado watu wanategemea wazazi .

Ebu nenda huko manyara ua wamasai ukaone wanaozeshana miaka mingap

Hakuna kitabu chochote kama unacho leta kwamba mtume kuoa kwake alienda kinyume na maadili ya jamii Yake,mbona alioa mwanamke mkubwa kuliko yeye husemi.

We endelea kufuata wazungu
 
Kujitambua kuwa wewe ni nani na kuwa mdadisi ni kitu kizuri ila ukishaunganishwa imani tu basi ndo akili inapotea.

Nazungumzia ndugu zetu wenye imani ya kiislamu kwa vijana wenzangu. Maisha tunayotafuta na makazi tunaishi na watu tofauti ila bahati nzuri asilimia kubwa maeneo niliyopo na kazi asilimia kubwa wenye imani ya Kiislamu.

Kiukweli kilichonishangaza siku moja mpaka naeleza hivi kuona mtu mwenye cheo cha sheik akiwaambia vijana kama kupotosha kuhusu mgogoro na vita inayoendelea huko Urusi na Ukraine. Ni kwamba Urusi inaipiga Ukraine sababu anatetea Uislamu, lengine kuhusu vita vya Kagera mpaka kuna CD zimejaza hayo hayo.

Kitu chengine sitasahau sheik mmoja anaeleza kuhusu Rwanda mauaji ya kimbali ni dini wakati ukabila na siasa.

Kuna mengi ambayo vijana wanadanganywa kwa kupandikizwa kitu bila kujua.
Mtoa mada huwa ana vimelea vya ushoga kwa mbali ndio maana nimejaribu kumfuatilia posts zake hana hoja wala chochote .yeye ana andika kwa kuwa haupendi uislamu na waislamu

Ndio maana anapapara na uandishi wake ,huwa anatumia utashi na kila anachosikia kuhusu uislamu

Kiufupi huyu jamaa hana anachojua kuhusu uislamu

Sasa eti anasema vijana wa kiislamu wameshikiwa akili ??? Kweli??? Hivi unajua vijana wa kiislamu au unawasikia??

Basi kwa taarifa tako vijana wa kigalatia ndio wameshikiwa akili kwa kuaminishwa kuwa uislamu ni m,baya wakati kila mtu anajionea mambo yanavyokwenda kwa kasi
 
Ukiona mtu anasema yule ni malaya basi tambua yeye ni mshiriki ? Kwa nini ujuwe fulani ni shoga kama sio wewe ni shoga.
 
Kabinti cha miaka 9 unaongeal Karne ipi ? Bibi yako Karne ya 20 kaolewa na miaka 12 utasemaje ivyo na mbona sasa kuolewa juu ya 25 ni kawaida.

Usifananishe zile ni zama tofauti ndo maana manabii wengine wakiishi miaka buku je wewe baby yako haya miaka 150 alifika..

Muhamad (SAW) ni mtume wa mwenyewe Mungu.

Kijana unatakiwa usome sana la sivyo utakuja kuwa mzee mjinga sana..
Kwa hiyo karne hiyo ndio alitumwa na Mungu kukaoa hako ka binti. Munamfuataje kwa hili, au alisema huko karne zijazo msiige/msinifuate. Sifa kuu ya mtume ni kuwakilisha kile alichotumwa na Mungu.
Huyo ni mtume wenu endeleeni kwa imani yenu kumfuata.
 
Wapi maandiko ynasemwa alitumwa na umri tambua umefanyiwa estimation kutokana na nyakati...Ebu jaribu kusoma vizuri ndo maana hata estimation ya kuzaliwa kwa yesu hamjui eti December 25
 
Una hakika huyo aliyeoa alikuwa na umri miaka 9 ni sawa na zama za sasa ..ebu jaribu kucheza na zama then uje hapo wapo watu miaka ya ya 1930's wameolewa miaka 13 na ni Tanzania

Izo ni sheria kama hujui kwa sasa umri wa mtu mzima ni miaka 22 sio 18 ,wakilenga miaka 22 bado watu wanategemea wazazi .

Ebu nenda huko manyara ua wamasai ukaone wanaozeshana miaka mingap

Hakuna kitabu chochote kama unacho leta kwamba mtume kuoa kwake alienda kinyume na maadili ya jamii Yake,mbona alioa mwanamke mkubwa kuliko yeye husemi.

We endelea kufuata wazungu
Hakuna cha zama acheni kutetea Ujinga.

Kwamba mtoto wa miaka 6 zamani alikuwa mtu mzima? Hata enzi za Adam, miaka 6 bado ni mtoto... kimaumbile ni mtoto wa darasa la kwanza kwa miaka hii.

Ndoa za kuoa watoto ulikuwa ushenzi wa wakati ule (kama kukeketwa kulivyo ushenzi wa wakati huu)... na mtume akaendeleza ushezi huo.

Kama kweli alikuwa mtume wa mungu angefanya lililo sahihi kwa kuacha kuendeleza ushezi..... ila akaendeleza tu kwa sababu alikuwa tu mtu kama wewe tu.

Wewe hapo unaweza kunipa binti yako wa miaka 6 nimuoe? Ili tufanye kama mtume alivyofanya? Unaweza??????
 
Wapi maandiko ynasemwa alitumwa na umri tambua umefanyiwa estimation kutokana na nyakati...Ebu jaribu kusoma vizuri ndo maana hata estimation ya kuzaliwa kwa yesu hamjui eti December 25
Hebu mimi na wewe tumuige mtume.

Hebu wewe nipe binti yako wa miaka 6 nimuoe halafu nije kumuingilia akiwa na miaka 9...
 
Hakuna kijana wa kiislamu anaweza kushikiwa akili kwani muongozo yetu ni Qur an .. Migogoro mingi ni upumbavu wa watu kadhaaa Haina uhusiano na dini.

Wakristo ndo wapumbavu kwamba kushikiwa akili juzi hapa tu na kibwetele walichomwa, then Kuna yesu wa Kenya kashaanza kupata wafuasi, Bado Kuna mnyakyusa anaitwa mtume tayar.

Wakristo ni rahisi kuwashikia akili kwa sababu wanafuata wazungu na sio dini na wala yesu hawamjui..Leo wanalishwa majani kanisani eti wokozi, leo Wana madhehebu zaidi ya mia na wanachukiana eti wa huko haweza kusali huko na vicer versal.

Kwa ulichoandika ni porojo historia za vita zipo za aina tofauti zilizoandikwa kweny syllabus ya kusoma shule then Kuna uhalisia ni mambo yanayo kinzana.
Umesahau kuna Mkubwa wao mmoja juzi katemblea Aftrca kuna watu wametembea miles za kutosha wakamshike miguu wabarikiwe, huu ni uzwazwa mkubwa sana.
Kuna wengine wanskesha wakolia kuwaombea wengine cha ajabu madhambi kama ndio yanazidi.
 
Wapi maandiko ynasemwa alitumwa na umri tambua umefanyiwa estimation kutokana na nyakati...Ebu jaribu kusoma vizuri ndo maana hata estimation ya kuzaliwa kwa yesu hamjui eti December 25
Mtume hatakiwi afanye lile asilotumwa na aliemtuma. Hata asiposema matendo yanaongea mfuateni huyo ni mtume wenu. Ma-estimation yalifanywa tuchukulie yalikosewa, badilisheni basi angalau iwe alioa binti wa miaka 14 angalau.
 
Back
Top Bottom