Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] waislamu wepi hao ona unavyo hangaika mpaka moto makanisani mnachomwa

Waislamu tu ndio wanauwezo wa kuhoji katika imani yao
Sio nyie kuku

Mpaka nyasi mmelishwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hapa utajitoa mhanga kwa nani Wakati nyie ni mashemeji zetu,tumeoa dada zenu,mmeo dada zetu,mnaona bora mtuvumilie tu hamna namna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani uniue mimi wajomba zako wateseke? Huko peponi utapaona kupitia TBC tu
Ukitaka kujua huo ni uongo. Uzuri wengi wa hao wanaowadanganya anajua wakristo wengi ni mazezeta sio wa kufuatilia mambo.
Kwa hiyo zamani watu walikuwa wanajitoa muhanga mlivyofundishwa sunday schools sio?
Kwa akili hizi, acha Mwamposa awababue kwa kuwadanganya jina la Yesu limetenda miujiza. Haya nenda katolewe mapepo na kumwagiwa maji ya azam kwa Mwamposo kwa jina la Brian Deacon.
Angalia kundi la mazezeta wenzako hapo chini nimekuwekea tena wanaongea lugha ya kiswahili. Angalia ukumbi umejazwa huyo ni mtu mmoja. Kila mchungaji ana misukule wake.
Your browser is not able to display this video.
 
Mimi ndugu, namuiga Yesu, alishasema tumfuaye matendo yake. Mtume lazima afanye yale aliotumwa na Mungu, na awe mfano kwetu. Kama kuna baya alilofanya Yesu nikumbushe nisifuate.
Nataka leo nijue kwanza Yesu na Jehova ni tofauti?
Hapa waliagizwa kuuliwa hadi watoto wachanga. Aliagizwa kuacha wasichana wadogo bikra kwa matumizi yao.
Nataka nijue kwanza Mungu wa agano la kale sio ili nikupe pumba za agano jipya.
Wengi wenu mkipewa aya kwenye agano la kale, mnazikataa mnataka agano jipya.
Hizi kwenye biblia naona mnakuwa hamsomewi ndiyo maana mnakuwa na akili finyu.

Numbers 31:17-18

King James Version

17 Now therefore kill every male among the little ones, and kill every woman that hath known man by lying with him.

18 But all the women children, that have not known a man by lying with him, keep alive for yourselves.
 
Ah wee uambiwe kuna mabikra 72 ukae unacheka cheka hapo[emoji23][emoji23]
 
umesahau KIBWETERE wa uganda alivodanganya waumini wake kwamba mwisho wa dunia uafika? Umemsahau nabii SHIKAa ZAMARADI je? Aliyekuwa akijiita mungu? weee jamaaaa wewe!!
Hajui anaongelea nini watu wanauziwa mafuta ya Upako wanakanyagana mpaka wanakufa wengine wanauziwa udongo wengine ndio hao kila kukicha wake za watu wanashinda kwa Wachungaji ni kwamba Dini zote zina watu wa hovyo hovyo sana...hakuna sehemu utasema ni afadhali kinachotakiwa ni wewe kuwa na akili ya utambuzi sio ya kushikiwa..
 
hao wanaoshuhudia kunywa maji ya upako na kukanyaga mafuta kule kwa manabii na mitume feki huoni kuwa wengi wanatoka dini yako unayoishadidia? Kijana inuka ujue ukweli na kweli ikuweke huru. Acha kuaminishwa imani za chuki
 
Atakwambia wamepewa hela ili waseme,sasa sijui wana njaa kiasi gani.
 
hao wanaoshuhudia kunywa maji ya upako na kukanyaga mafuta kule kwa manabii na mitume feki huoni kuwa wengi wanatoka dini yako unayoishadidia? Kijana inuka ujue ukweli na kweli ikuweke huru. Acha kuaminishwa imani za chuki
Hapa hakuna chuki mnachomwa mpaka moto unasema chuki nyie kweli wapumbavu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wala hakuna tatizo,huyo fala wenu akiwadanganya kwamba dini ni moja tu,ila ukishapata akili utaelewa.

Chupi hata wewe unawezavua tu,ila aseme muhamad[emoji3],sio mwamposya.
Hapa tunamuona tito na kibwetere wanawaburuza yupo mwengine kenya nae Yesu [emoji1787]

Kweli nyie wapumbavu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hizo sio agenda ni mambo yaliyo tokea makubwa zaidi duniani yaliyo fanywa na wakristo
Mnajizima data au

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
unaonekana ni kijana mdogo sana kimakuzi na ukuaji wa kimwili na kiroho. Hebu vua uislam wako ubaki mtupu kisha uchunguze dini na imani unayoiamini kama iko sahihi au ni propaganda tu
 
unaonekana ni kijana mdogo sana kimakuzi na ukuaji wa kimwili na kiroho. Hebu vua uislam wako ubaki mtupu kisha uchunguze dini na imani unayoiamini kama iko sahihi au ni propaganda tu
Thibitisha kwanza kama huo ukristo ni dini alafu ndio uendelee na porojo zako

Unafanya upumbavu unasema ujinga mnachomwa mpaka moto

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
2021 vipi imemuongeza muhamad huko ndani au bado anachukuliwa kama tapeli tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…