Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Mazezeta kutoka pande zote mbili wanabishana.
Mzungu na muarabu wamejua kuwashika akili
 
tuliza mshono, hao ni malimbukeni wa imani, hata ukristo hauwatambui
Kama unatumia akili kujibu hoja, neno tuliza mshono, hawezi kutumia mtu mwenye maadili, maana linaelekea kwenye kumtusi mtu,
Hivyo wewe inaonyesha moja ya watu waliokosa malezi mazuri.

Mada ni wakristo na Waislamu, hivyo kama mnachomwa moto na kina kibwetele, sababu dini humuijui haiondoa ukristo wenu.
 
Back
Top Bottom