David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Kaa pale Nani ni cheo gani hicho ?Kaa pale nani kama muhamad katika uislam[emoji28][emoji28]
Kinyongo gani ? Zile cd za mazige na abdul logo nilitengeneza mimi
Kama unatumia akili kujibu hoja, neno tuliza mshono, hawezi kutumia mtu mwenye maadili, maana linaelekea kwenye kumtusi mtu,tuliza mshono, hao ni malimbukeni wa imani, hata ukristo hauwatambui
Huna Dini unatakiwa uthibitisho wewe unataka nieleze nini sema tu ukweli huwezi kuthibitisha basiNimekwambia eleza maana ya dini,unapoteza uzu tu hapa kwankupumu pumua ,embu katawadhe ukapumzike.
Kwa hiyo hapo ndio uthibitisho kweli nyie wapumbavujibu hoja, unataka uthibitisho gani wakati hata wewe huna hoja ya kuthibitisha uislam ni dini ya kweli? Mkiambiwa ni utamaduni wa kiarabu na uliletwa na waarabu msibishe
Huna Dini unatakiwa uthibitisho wewe unataka nieleze nini sema tu ukweli huwezi kuthibitisha basi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kifupi umeshindwa kuthibitishaAchana na uislam,kuthibitisha tu utume wa muhamad ni zoezi zito sana kwa muislam.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiuliza mtu "una magari wangapi"
Tayari anajua hujui gari ni nini,lazima umueleze kwanza namna unavyolijua gari.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ona mfano wako wenzio wanakucheka
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huna uwezo huoMimi naweza kukuthibitishia pasi na shaka lakini lazima nithibitishe kwanza kama una uwezo wa kuelewa.
Lakini unaonekana kabisa hapana.
Nisome niniNajua umekurupuka kama mtume,embu soma kwa utulivu[emoji23][emoji23][emoji23]
Lete andko la bibiliaMimk sio kama muhamad uwezo ninao.
Hiyo kampeni bora itakuwa kuliko zote, kampeni ya kukata ndoa ipo kishoga shoga sana.Hizi imani za kupandikizwa watu wameshazishtukia, muda si mrefu vijana watakuja na kampeni ya KATAA DINI
Ila wewe mkuu huwa sielewi kichwa yakoKinachoniuma zaidi DINI Yao imeasisiwa na Roman Catholic.
JESUIT+VATCAN + SHETANI NA MAJINI+ MOHAMED.
Tukiwaambia hawaelewi
Quran Imeandikwa VATCAN
Nisome nini
Nikiulizwa nina magari mangapi una maana ndio nimeambiwa nieleze
Kweli nyie ni wapumbavu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwamba nina uwezo au sifanani na muhamad.