Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
Akina Tito...kule Kenya kajitokeza mtu anajiita Yesu.umesahau KIBWETERE wa uganda alivodanganya waumini wake kwamba mwisho wa dunia uafika????....umemsahau nabii SHIKA!??,,,,,na ZAMARADI je???aliyekuwa akijiita mungu????......weee jamaaaa wewe!!
Akina Jim Jones na David Koresh na wenzao kumbe walikuwa Waislam! Tena hao ni kutokea huko kwa mnaowaona wana akili kuliko watu wote. Sijui "mazombie" wa huku wafuasi wa Kibwetere, Shilla, Tito na wengineo watakuwa katika hali gani.Kule kwenye ukristo huwezi kuburuza watu wenye akili timamu wakakuamini. Ni kwenye uislam tu ndiko kiongozi anaweza kuwashika watu akili na wakafanya atakavyo
Uislam haujawahi kuwepo toka dunia inaumbwa.Hv kama siku inapita bila kuongelea vibaya uislam unahisi utabanduka au?!kila siku unatunga story za kubumba bumba tu ,acha chuki uislam ulikuwepo tangia dunia inaumbwa na utakuwepo mpaka mwishi wa dunia hii inshallah...
Nakunukuu:Dah mafarisayo mnateseka sanaaa na Waislamu
Mbona sisi hatuna habari na dini yenu ya mchongo
Thread ya pili leo hii nakutana nayo kuhusu Uislamu
Kwani ukristo ni Dini?Uislam haujawahi kuwepo toka dunia inaumbwa.
Uislam umekuwepo toka karne ya 7 wakati wa Mohamad na ulianzishwa na Mohamad.
Nikikuambia Uthibitishe kuwa uislam ulikuwepo kabla ya Mohamad HUTAWEZA.
Najua ndivyo mnavyo karirishwa msikitini kwenu, lakini kwa hili hebu tumia tu akili yako.
Kwani kitu kikiwa cha mchongo kina kua ndio kipo kamili vipi unatumia miguu kufikiri au?Nakunukuu:
"Mbona sisi hatuna habari na DINI yenu ya mchongo"
Kumbe ukristo ni dini!!! Si huwa mnasema ukristo sio dini?? Sasa Tushike lipi? Ni dini au sio dini?
Kijana uislam ni kumpwekesha mungu mmoja tu bila ya kumshirikisha ,hvyo basi ndio mlengo wa Manabii wote kuanzia adam mpka wa mwisho ni Muhmad wote hao ni katika waislam na walijiweka mbali na ushirikina.Uislam haujawahi kuwepo toka dunia inaumbwa.
Uislam umekuwepo toka karne ya 7 wakati wa Mohamad na ulianzishwa na Mohamad.
Nikikuambia Uthibitishe kuwa uislam ulikuwepo kabla ya Mohamad HUTAWEZA.
Najua ndivyo mnavyo karirishwa msikitini kwenu, lakini kwa hili hebu tumia tu akili yako.
Mwambie athibitishe kua ukristo ni DiniKijana uislam ni kumpwekesha mungu mmoja tu bila ya kumshirikisha ,hvyo basi ndio mlengo wa Manabii wote kuanzia adam mpka wa mwisho ni Muhmad wote hao ni katika waislam na walijiweka mbali na ushirikina.
Allah anasema ..قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
(AL - BAQARA - 136)
Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa(Yesu), na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao(wote ni katika waislam), na sisi tumesilimu kwake.
Mwisho haya ya uislam kuwa ndio dini ya asil ya mwanaadam ,kumfanya mungu awe pekee yake bila kuwa na mshirika ,kuzaa au kuzaliwa au kufanana naye,Viongozi wako wa dini wanayajua vile kuliko ww mbumbu
Allah anasema
الَّذِينَ آتَيْنَاهُمُ الْكِتَابَ يَعْرِفُونَهُ كَمَا يَعْرِفُونَ أَبْنَاءَهُمْ ۖ وَإِنَّ فَرِيقًا مِّنْهُمْ لَيَكْتُمُونَ الْحَقَّ وَهُمْ يَعْلَمُونَ
[ AL - BAQARA - 146 ]
Wale tulio wapa Kitabu(wikiristo na wayahudi)wanayajua haya kama wanavyo wajua watoto wao; na kuna kikundi katika wao huificha haki na hali wanajua.
إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ ۗ وَمَا اخْتَلَفَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ إِلَّا مِن بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْعِلْمُ بَغْيًا بَيْنَهُمْ ۗ وَمَن يَكْفُرْ بِآيَاتِ اللَّهِ فَإِنَّ اللَّهَ سَرِيعُ الْحِسَابِ
[ AL I'MRAN - 19 ]
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu(wakiristo na wayahudi) hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.
Jifunze kujibu swali lililoulizwa.Kwani kitu kikiwa cha mchongo kina kua ndio kipo kamili vipi unatumia miguu kufikiri au?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hakusema Dini ndio maana mnaburuzwaJifunze kujibu swali lililoulizwa.
Mwenzako amesema ukristo ni dini... Nimeuliza, TUSHIKE LIPI?
Ni Dini au sio Dini?
Hili gazeti halithibitishi kuwa Uislam ulikuwepo kabla ya Mohamad.Kijana uislam ni kumpwekesha mungu mmoja tu bila ya kumshirikisha ,hvyo basi ndio mlengo wa Manabii wote kuanzia adam mpka wa mwisho ni Muhmad wote hao ni katika waislam na walijiweka mbali na ushirikina.
Allah anasema ..قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
(AL - BAQARA - 136)
Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa(Yesu), na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao(wote ni katika waislam), na sisi tumesilimu kwake.
Mwisho haya ya uislam kuwa ndio dini ya asil ya mwanaadam ,kumfanya mungu awe pekee yake bila kuwa na mshirika ,kuzaa au kuzaliwa au kufanana naye,Viongozi wako wa dini wanayajua vile kuliko ww mbumbu
Allah anasema
الَّذِينَ آتَيْنَاهُمُ الْكِتَابَ يَعْرِفُونَهُ كَمَا يَعْرِفُونَ أَبْنَاءَهُمْ ۖ وَإِنَّ فَرِيقًا مِّنْهُمْ لَيَكْتُمُونَ الْحَقَّ وَهُمْ يَعْلَمُونَ
[ AL - BAQARA - 146 ]
Wale tulio wapa Kitabu(wikiristo na wayahudi)wanayajua haya kama wanavyo wajua watoto wao; na kuna kikundi katika wao huificha haki na hali wanajua.
إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ ۗ وَمَا اخْتَلَفَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ إِلَّا مِن بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْعِلْمُ بَغْيًا بَيْنَهُمْ ۗ وَمَن يَكْفُرْ بِآيَاتِ اللَّهِ فَإِنَّ اللَّهَ سَرِيعُ الْحِسَابِ
[ AL I'MRAN - 19 ]
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu(wakiristo na wayahudi) hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.
Kitendo cha kusema "Dini ya mchongo" tayari umeshakiri kuwa ni Dini(ya mchongo).Hakusema Dini ndio maana mnaburuzwa
Amesema Dini ya mchongo?
Au ndio kuelewa 0
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
MkKinachoniuma zaidi DINI Yao imeasisiwa na Roman Catholic.
JESUIT+VATCAN + SHETANI NA MAJINI+ MOHAMED.
Tukiwaambia hawaelewi
Quran Imeandikwa VATCAN
Sio unahangaika thibitisha kua ukristo ni Dini kwanza hata kwa bibilia yako mwenyeweHili gazeti halithibitishi kuwa Uislam ulikuwepo kabla ya Mohamad.
Bado hujaweza kuthibisha, na hujaweza kuthibisha kwa sababu Huwezi kuthibisha kitu ambacho hakikuwahi kuwepo.
Kama unaweza kuthibisha, njoo hapa na waislam wenzako muthibithishe..
NAWASUBIRI.
Kwani msemaji alieka mabanoKitendo cha kusema "Dini ya mchongo" tayari umeshakiri kuwa ni Dini(ya mchongo).
Bado nauliza hujanijibu, TUSHIKE LIPI? NI DINI AU SIO DINI?
Usirukie comment. Hii comment haihusu ukristo kuwa dini au sio dini.(comment ya Dini ipo, itafute uijibu)Sio unahangaika thibitisha kua ukristo ni Dini kwanza hata kwa bibilia yako mwenyewe
Hapo ushathibitishiwa kwa QURAN
Lete aya ya bibilia inayotwambia ukristo ni Dini
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Narudia tena swali langu unalolikwepa.Kwani msemaji alieka mabano
Kwahiyo umekubali kua ukristo ni Dini ya mchongo?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app