Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Kule kwenye ukristo huwezi kuburuza watu wenye akili timamu wakakuamini. Ni kwenye uislam tu ndiko kiongozi anaweza kuwashika watu akili na wakafanya atakavyo
Akina Jim Jones na David Koresh na wenzao kumbe walikuwa Waislam! Tena hao ni kutokea huko kwa mnaowaona wana akili kuliko watu wote. Sijui "mazombie" wa huku wafuasi wa Kibwetere, Shilla, Tito na wengineo watakuwa katika hali gani.
 
Hv kama siku inapita bila kuongelea vibaya uislam unahisi utabanduka au?!kila siku unatunga story za kubumba bumba tu ,acha chuki uislam ulikuwepo tangia dunia inaumbwa na utakuwepo mpaka mwishi wa dunia hii inshallah...
Uislam haujawahi kuwepo toka dunia inaumbwa.
Uislam umekuwepo toka karne ya 7 wakati wa Mohamad na ulianzishwa na Mohamad.

Nikikuambia Uthibitishe kuwa uislam ulikuwepo kabla ya Mohamad HUTAWEZA.

Najua ndivyo mnavyo karirishwa msikitini kwenu, lakini kwa hili hebu tumia tu akili yako.
 
Dah mafarisayo mnateseka sanaaa na Waislamu
Mbona sisi hatuna habari na dini yenu ya mchongo

Thread ya pili leo hii nakutana nayo kuhusu Uislamu
Nakunukuu:
"Mbona sisi hatuna habari na DINI yenu ya mchongo"

Kumbe ukristo ni dini!!! Si huwa mnasema ukristo sio dini?? Sasa Tushike lipi? Ni dini au sio dini?
 
Uislam haujawahi kuwepo toka dunia inaumbwa.
Uislam umekuwepo toka karne ya 7 wakati wa Mohamad na ulianzishwa na Mohamad.

Nikikuambia Uthibitishe kuwa uislam ulikuwepo kabla ya Mohamad HUTAWEZA.

Najua ndivyo mnavyo karirishwa msikitini kwenu, lakini kwa hili hebu tumia tu akili yako.
Kwani ukristo ni Dini?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kijana uislam ni kumpwekesha mungu mmoja tu bila ya kumshirikisha ,hvyo basi ndio mlengo wa Manabii wote kuanzia adam mpka wa mwisho ni Muhmad wote hao ni katika waislam na walijiweka mbali na ushirikina.
Allah anasema ..قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ

(AL - BAQARA - 136)
Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa(Yesu), na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao(wote ni katika waislam), na sisi tumesilimu kwake.

Mwisho haya ya uislam kuwa ndio dini ya asil ya mwanaadam ,kumfanya mungu awe pekee yake bila kuwa na mshirika ,kuzaa au kuzaliwa au kufanana naye,Viongozi wako wa dini wanayajua vile kuliko ww mbumbu
Allah anasema

الَّذِينَ آتَيْنَاهُمُ الْكِتَابَ يَعْرِفُونَهُ كَمَا يَعْرِفُونَ أَبْنَاءَهُمْ ۖ وَإِنَّ فَرِيقًا مِّنْهُمْ لَيَكْتُمُونَ الْحَقَّ وَهُمْ يَعْلَمُونَ

[ AL - BAQARA - 146 ]
Wale tulio wapa Kitabu(wikiristo na wayahudi)wanayajua haya kama wanavyo wajua watoto wao; na kuna kikundi katika wao huificha haki na hali wanajua.

إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ ۗ وَمَا اخْتَلَفَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ إِلَّا مِن بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْعِلْمُ بَغْيًا بَيْنَهُمْ ۗ وَمَن يَكْفُرْ بِآيَاتِ اللَّهِ فَإِنَّ اللَّهَ سَرِيعُ الْحِسَابِ

[ AL I'MRAN - 19 ]
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu(wakiristo na wayahudi) hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.
 
Mwambie athibitishe kua ukristo ni Dini

Hili gazeti halithibitishi kuwa Uislam ulikuwepo kabla ya Mohamad.

Bado hujaweza kuthibisha, na hujaweza kuthibisha kwa sababu Huwezi kuthibisha kitu ambacho hakikuwahi kuwepo.

Kama unaweza kuthibisha, njoo hapa na waislam wenzako muthibithishe..

NAWASUBIRI.
 
Sio unahangaika thibitisha kua ukristo ni Dini kwanza hata kwa bibilia yako mwenyewe

Hapo ushathibitishiwa kwa QURAN

Lete aya ya bibilia inayotwambia ukristo ni Dini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sio unahangaika thibitisha kua ukristo ni Dini kwanza hata kwa bibilia yako mwenyewe

Hapo ushathibitishiwa kwa QURAN

Lete aya ya bibilia inayotwambia ukristo ni Dini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Usirukie comment. Hii comment haihusu ukristo kuwa dini au sio dini.(comment ya Dini ipo, itafute uijibu)

Hii comment inahusu UISLAM KUWEPO KABLA YA MOHAMAD,nikimtaka athibitishe kuwa Uislam ukikuwepo kabla ya mohamad (nilimuiliza mwenzako naona amekula kona)
 
Back
Top Bottom