Unamzungumzia huyu gwajima, gwajboy au unachanganya madesa? Wale walikuwa wanajiita wasabato masalia, fuatilia mambo kwa usahihi. Wale walikuwa wapumbavu fulani hivi kama hawa wanaojadiliwa hapaAskofu Josephat Gwajima, kuna mwaka aliwakusanya waumini wake wakaandamana mpaka Airport, lengo kuhubiri neno kwa mataifa mbali mbali, hapo kumbuka hawakuwa na passport wala visa ya kwenda nje ya nchi.
Anaweza Sheik akaongea na watu wakamsikiliza lakini haina maana wamemkubalia alivyosema !! Kwa sababu aliyoyaongea ni fikra zake sio kutoka kwenye maandiko !!Kujitambua kuwa wewe ni nani na kuwa mdadisi ni kitu kizuri ila ukishaunganishwa imani tu basi ndo akili inapotea.
Nazungumzia ndugu zetu wenye imani ya kiislamu kwa vijana wenzangu. Maisha tunayotafuta na makazi tunaishi na watu tofauti ila bahati nzuri asilimia kubwa maeneo niliyopo na kazi asilimia kubwa wenye imani ya Kiislamu.
Kiukweli kilichonishangaza siku moja mpaka naeleza hivi kuona mtu mwenye cheo cha sheik akiwaambia vijana kama kupotosha kuhusu mgogoro na vita inayoendelea huko Urusi na Ukraine. Ni kwamba Urusi inaipiga Ukraine sababu anatetea Uislamu, lengine kuhusu vita vya Kagera mpaka kuna CD zimejaza hayo hayo.
Kitu chengine sitasahau sheik mmoja anaeleza kuhusu Rwanda mauaji ya kimbali ni dini wakati ukabila na siasa.
Kuna mengi ambayo vijana wanadanganywa kwa kupandikizwa kitu bila kujua.
Huyo gwajima mkristo acha upopomaUnamzungumzia huyu gwajima, gwajboy au unachanganya madesa? Wale walikuwa wanajiita wasabato masalia, fuatilia mambo kwa usahihi. Wale walikuwa wapumbavu fulani hivi kama hawa wanaojadiliwa hapa
Yaani gwajima huyu huyu mwanasiasa apeleke watu uwanja wa ndege bila paspoti wapae kwenda ng'ambo? Muwe mnaleta habari za ukweli zisizo na shaka
Sasa huko kuhama hama mathehebu, huoni kunadhihilisha upumbavu wa Dini yenu, mnaabudu msichokijua, mnaabudu bila imani, ukihama ukienda huko ndiyo ukakuta ushetani zaidi unahama tena.mpe ukweli huyo kichwa maji, nimesema heri ya ukristo kuliko uislam, kwenye ukristo ukiona kuna mafundisho ya ajabuajabu unahama dhehebu fasta bila woga kitu ambacho hakipo kwa uislam. Mila, desturi na tamaduni za kipagani zimeshikizwa na uislam. Kwa hiyo waislam wanaona hiyo dini ndio kila kitu katika maisha yao na hakibadiliki nyakati zote. Kwenye ukristo kila nyakati Mungu aliinua mitume tangu agano la kale na agano jipya na baada ya agono jipya. Ndio maana kwenye ukristo kuna matengenezo pale panapoingizwa hila na upotoshaji wa ukweli
we binti unaandika nini? Kwani nyie hamna zaka? Hizo ni aina za sadaka ambazo ni sehemu ya ibada. Kuhusu michango siku hizi hakuna wamisionari wa kigeni wala wahisani, washirika wenyewe wanachanga kujenga makanisa na mahekalu tofauti na huko uliko mpaka msaidiwe kujenga na mwarabu anayeuza rasilimali zake za mafutaWewe kwanza shule ni 0.
Hivi ni wapi wanapochangishwa michango isiyo na vichwa wala miguu.
Vijana wanaojielewa ni wa kiislamu ndiyo maana huwezi waona wanaswagwa kama mapunda eti sijui fungu la ngap mara sijui sadaka yanini.
Mi sishangai mtu anapotafuta hela, na akaona watu wanatoa lolote la kuvuta wavuasi anaweza fanya, ndiyo maana yeye anatembelea hurmmer, kwa hela za wajinga, wanaojidanganya eti hela zao anakula Mungu.Yaani gwajima huyu huyu mwanasiasa apeleke watu uwanja wa ndege bila paspoti wapae kwenda ng'ambo? Muwe mnaleta habari za ukweli zisizo na shaka
Hivi hao anao waburuza kanisani kila siku huwaoni au unajitia upofuYaani gwajima huyu huyu mwanasiasa apeleke watu uwanja wa ndege bila paspoti wapae kwenda ng'ambo? Muwe mnaleta habari za ukweli zisizo na shaka
Kule ni fedha kwa kwenda mbele na kama hutoi mchango siyo muuminiKule huwezi kurundika wanaume wazima na akili zao wanakusikiliza huku ukiwapotezea muda wa kufanya shughuli zao kwa ajili ya sala tu.
Hizi imani za kupandikizwa watu wameshazishtukia, muda si mrefu vijana watakuja na kampeni ya KATAA DINI
waislam ndio wako hivyo, umewahi kusoma wapi muislam anahoji uislam? Yule muislam rushdie aliandika yake kuhusu uislam yakamkuta makubwa. Kwenye ukristo huwezi kukuta jazba kama hizo. Kila mtu atabeba dhambi zake. Ukimkashifu Mungu, Mungu mwenyewe atakushughulikiaMzee mbona unarusha mada?
Kati ya ninyi wagalatia na waislam ni wepi wanapelekwa kama manyumbu?
ukiambiwa hayo ni akili yako kuchakata kujua ukweli, unataka ushahidi gani? Tumia akili yako kupata ushahidiLete ushahidi hapa acha porojo.
utopolo mtupuTulia dawa ikuingie
kutoka na kuhama dhehebu ni kawaida sana na ni ukuaji wa ukristo. Rejea ukatoliki, uprotestanti mpaka upentekoste. Hizo ni nyakati za kukua kiroho kwa kanisa la Mungu ambalo hata wewe unaweza kuwa ni kanisa kwa neema ya Yesu Kristo. Usiwe mkiritimba wa udiniSasa huko kuhama hama mathehebu, huoni kunadhihilisha upumbavu wa Dini yenu, mnaabudu msichokijua, mnaabudu bila imani, ukihama ukienda huko ndiyo ukakuta ushetani zaidi unahama tena.
Unazeeka Ukiwa unatafuta kanisa la kweli.
Ujinga unao tokana na DINI ya kikriso NIKUSHINDA KANISANI HUKU UKIAMINI MUNGU ATAKUPA UTAJIRI MKUBWA BADARA YA KUFANYA KAZI
Na ujinga unao tokana na mafundisho ya DINI ya kiisramu
NIKUAMINI KWAMBA UKIJIRIPUA/KUUWA/KUU WAWA KWA AJIRI YA JINA LA ALLAH BASI PEPO NI YAKO NAHUKO UTAANDALIWA MA BIKRA WAKUTOSHA
Babu yangu Alisha wahi kuniambia
DINI NI SHIRIKA LA AMANI DUNIANI SI VINGINEVYO YALE MAMBO YA JEHANUM,KUZIMU,PEPONI, NIHABARI ZA KUFIKIRIKA TU
kwenye ukristo kuna uhuru wa kuabudu, hakuna wa kumdhuru na imani yake