mpe ukweli huyo kichwa maji, nimesema heri ya ukristo kuliko uislam, kwenye ukristo ukiona kuna mafundisho ya ajabuajabu unahama dhehebu fasta bila woga kitu ambacho hakipo kwa uislam. Mila, desturi na tamaduni za kipagani zimeshikizwa na uislam. Kwa hiyo waislam wanaona hiyo dini ndio kila kitu katika maisha yao na hakibadiliki nyakati zote. Kwenye ukristo kila nyakati Mungu aliinua mitume tangu agano la kale na agano jipya na baada ya agono jipya. Ndio maana kwenye ukristo kuna matengenezo pale panapoingizwa hila na upotoshaji wa ukweli