Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Na ule wa kiislamu ukisubiri mabikra 72 kwa hiyo ngoma dro
 
Mkristo gani anadanganyika na papai hilo? Wanaodanganyika ni waislam wasioujua ukristo ulivyo
 
Unakaza fuvu kweli yani hebu kawaambie nyie sio wakristo alafu uone

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ukijibiwa hawa ni makristo ya uongo uwe unaelewa. Rejea post yangu hapo mwanzo wa uzi. Biblia ilishaonya kuwa siku za mwisho watatokea makristo ya uongo, manabii wa uongo. Wakristo wanajua hayo yote yanayokushangaza wewe usiyejua ukristo wa kweli zadi ya kuwa mfuasi feki wa uislam
 
Hao ni wakristo kwani nimepinga si unaona na mchungaji yuko?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hao ni wakristo kwani nimepinga si unaona na mchungaji yuko?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
acheni magugu na ngano vikue pamoja, unalijua andika hili? Kama ni mfuatiliaji wa imani ya kikristo unajua wametokea mayesu wengi wakidanganya watu? Kule kenya kuna yesu kaibuka anasema yeye ndiye yesu original, umesikia wakristo wakihangaika kubishana na yesu huyo zaidi ya kumpuuza? Hawa uliowaposti ni wasanii fulani wa kipuuzi wala hakuna mkristo anayehangaika nao. Anajifurahisha tu na wapuuzi wenzake. Biblia imejaa ukweli mtupu, we unashangaa tu, angalia usijelishwa nyasi kijana tulia utafakari kwa umakini
 
Acha kuandika Insha wewe. Hapo umesema mara ngapi yasiyo kwenye uislamu na umelazimsha yae ni ya uislamu

Unaleta ngonjera upande wako baada ya kibano tena cha picha halisi

Hao ni wakristo kila mtu anawaona

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…