professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Si ndio huo wa kuwaburuza wafuasikwenye ukristo kuna uhuru wa kuabudu, hakuna wa kumdhuru na imani yake
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndio huo wa kuwaburuza wafuasikwenye ukristo kuna uhuru wa kuabudu, hakuna wa kumdhuru na imani yake
Na ule wa kiislamu ukisubiri mabikra 72 kwa hiyo ngoma droUjinga unao tokana na DINI ya kikriso NIKUSHINDA KANISANI HUKU UKIAMINI MUNGU ATAKUPA UTAJIRI MKUBWA BADARA YA KUFANYA KAZI
Na ujinga unao tokana na mafundisho ya DINI ya kiisramu
NIKUAMINI KWAMBA UKIJIRIPUA/KUUWA/KUU WAWA KWA AJIRI YA JINA LA ALLAH BASI PEPO NI YAKO NAHUKO UTAANDALIWA MA BIKRA WAKUTOSHA
Babu yangu Alisha wahi kuniambia
DINI NI SHIRIKA LA AMANI DUNIANI SI VINGINEVYO YALE MAMBO YA JEHANUM,KUZIMU,PEPONI, NIHABARI ZA KUFIKIRIKA TU
Hata ule wa ukristo wa kusubiria kukumbatiwa na IbrahimNa ule wa kiislamu ukisubiri mabikra 72 kwa hiyo ngoma dro
unaanza kukomenti kitotoHata ule wa ukristo wa kusubiria kukumbatiwa na Ibrahim
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kitoto vipi sasa yani huo ndio ukweli hutaki prove me wrongunaanza kukomenti kitoto
ngoja tumpeleke mchakachaka atazima data mwenyewe na mada ataikimbiaLeo mnakazi kubishana na mkigoma mwenye ID ya professional driver.
Oya nishakuja aya nambie mnataka kukumbatiwa na Ibrahim aungoja tumpeleke mchakachaka atazima data mwenyewe na mada ataikimbia
hawa ni wahuni tu wala ukristo hautaki upuuzi, hawa hawana tofauti kubwa sana na nyie mnaowaaminisha vijana imani za ajabu ajabu
Unakaza fuvu kweli yani hebu kawaambie nyie sio wakristo alafu uonehawa ni wahuni tu wala ukristo hautaki upuuzi, hawa hawana tofauti kubwa sana na nyie mnaowaaminisha vijana imani za ajabu ajabu
Pumzi huna kubali matokeo upumzike, simu yako itachemka na kumaliza bando lako la wikiOya nishakuja aya nambie mnataka kukumbatiwa na Ibrahim au
Alafu nakupa hiyo sijawahi kimbia mada nyepesi kama hizi
Mwenzio kashanikimbia na hata kuniqoute anaogopa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
HahahahahahahahaPumzi huna kubali matokeo upumzike, simu yako itachemka na kumaliza bando lako la wiki
ukijibiwa hawa ni makristo ya uongo uwe unaelewa. Rejea post yangu hapo mwanzo wa uzi. Biblia ilishaonya kuwa siku za mwisho watatokea makristo ya uongo, manabii wa uongo. Wakristo wanajua hayo yote yanayokushangaza wewe usiyejua ukristo wa kweli zadi ya kuwa mfuasi feki wa uislamUnakaza fuvu kweli yani hebu kawaambie nyie sio wakristo alafu uone
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hao ni wakristo kwani nimepinga si unaona na mchungaji yuko?ukijibiwa hawa ni makristo ya uongo uwe unaelewa. Rejea post yangu hapo mwanzo wa uzi. Biblia ilishaonya kuwa siku za mwisho watatokea makristo ya uongo, manabii wa uongo. Wakristo wanajua hayo yote yanayokushangaza wewe usiyejua ukristo wa kweli zadi ya kuwa mfuasi feki wa uislam
Hii habari ni mda huu😂👇
😂😂😂Na ule wa kiislamu ukisubiri mabikra 72 kwa hiyo ngoma dro
Watu wa damu ya yesu mnakataanahawa ni wahuni tu wala ukristo hautaki upuuzi, hawa hawana tofauti kubwa sana na nyie mnaowaaminisha vijana imani za ajabu ajabu
acheni magugu na ngano vikue pamoja, unalijua andika hili? Kama ni mfuatiliaji wa imani ya kikristo unajua wametokea mayesu wengi wakidanganya watu? Kule kenya kuna yesu kaibuka anasema yeye ndiye yesu original, umesikia wakristo wakihangaika kubishana na yesu huyo zaidi ya kumpuuza? Hawa uliowaposti ni wasanii fulani wa kipuuzi wala hakuna mkristo anayehangaika nao. Anajifurahisha tu na wapuuzi wenzake. Biblia imejaa ukweli mtupu, we unashangaa tu, angalia usijelishwa nyasi kijana tulia utafakari kwa umakiniHao ni wakristo kwani nimepinga si unaona na mchungaji yuko?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha kuandika Insha wewe. Hapo umesema mara ngapi yasiyo kwenye uislamu na umelazimsha yae ni ya uislamuacheni magugu na ngano vikue pamoja, unalijua andika hili? Kama ni mfuatiliaji wa imani ya kikristo unajua wametokea mayesu wengi wakidanganya watu? Kule kenya kuna yesu kaibuka anasema yeye ndiye yesu original, umesikia wakristo wakihangaika kubishana na yesu huyo zaidi ya kumpuuza? Hawa uliowaposti ni wasanii fulani wa kipuuzi wala hakuna mkristo anayehangaika nao. Anajifurahisha tu na wapuuzi wenzake. Biblia imejaa ukweli mtupu, we unashangaa tu, angalia usijelishwa nyasi kijana tulia utafakari kwa umakini
Wakristo watakuelewa ila waislam hawatakuelewa, haijulikani wamelishwa nini hawa waafrika wapenda utumwa. Historia iko wazi kuwa wafanyabiashara wa kiislam akina tip tip ndio walikuwa magwiji wa biashara ya utumwa afrika. Wakaibuka akina Moresby, mzungu huyu na wenzake walileta mkataba wa kukomesha biashara ya kishenzi kuuza watu kama nyanya. Nani anataka kuuondoa uislam katika biashara ya utumwa? Tena waombe msamaha kwa waafrika kwa ushenzi waliowafanyia