Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Nilijua Tu utatafuta pa kutokea,anyways nachukulia kwamba huna majibu.

Kuhusu Dini ni nini Kisai amekujibu
Usikimbie swali kama mwenzako. Wewe si unajua lugha ya Kiswahili au Kiingereza?

Ukienda hata Google unapata dictionary kibao, so huna kisingizio.

Nauliza tena kwa mara nyingine. DINI NI NINI? WHAT IS RELIGION?
 
Wewe chenga kweli chief,kwahiyo kama mwenzangu kajibu nami nirudie majibu hayo hayo.

Halafu nakukumbusha uje na Maandiko kuwa Ukristo ni Dini Kwa mujibu wa biblia
 
Dictionary ndio kitabu cha ngapi kwenye bibilia nikaktifute sasa hivi hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nione uthibitisho wa yesu kwenye dictionary leo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hujajibu nilichokuuliza.

Narudia tena [emoji116]

Tafairi ya Neno DINI/RELIGION ni nini? Tukitumia kiingereza kwa mfano, RELIGION ni Nini? DINI ni nini?

Hilo ndilo swali langu, acheni kupiga chenga
 
Usikimbie swali kama mwenzako. Wewe si unajua lugha ya Kiswahili au Kiingereza?

Ukienda hata Google unapata dictionary kibao, so huna kisingizio.

Nauliza tena kwa mara nyingine. DINI NI NINI? WHAT IS RELIGION?
Kijana acha kupotezea watu muda, kama huna hoja au cha kuandika, Kaa utulie. Au toa wewe maana ya dini, sababu hukosoia maana uliyopewa unarudia rudia swal ambalo umeshajibiwa.

Inaonekana unaijua maana ya dini, tupatie hiyo maana kama huijui na unapinga inaonyesha ni namna gani ulivyo kuwa huna akili, unapinga kitu ambacho hukijui.
 
Hujajibu nilichokuuliza.

Narudia tena [emoji116]

Tafairi ya Neno DINI/RELIGION ni nini? Tukitumia kiingereza kwa mfano, RELIGION ni Nini? DINI ni nini?

Hilo ndilo swali langu, acheni kupiga chenga
Nijibu mara ngapi ?

Kwahiyo hapo nimefanya nini ?

Siku nyingine usije kuandika uongo kama hujajibiwa swali lako.
 
Chief ukiona jamaa anarukaruka ujue ni dalili ya kuchemka,kama vipi tumpuuze Tu coz anatupotezea Mda tu
 
Hujajibu nilichokuuliza.

Narudia tena [emoji116]

Tafairi ya Neno DINI/RELIGION ni nini? Tukitumia kiingereza kwa mfano, RELIGION ni Nini? DINI ni nini?

Hilo ndilo swali langu, acheni kupiga chenga
Aya tupe jibu la Yesu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wa bibilia mpya ya ( dictionary toleo la ngapi hili),

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukimaliza kuandika haya magazeti, kuna swali linakusubiri.
Nalirudia: [emoji116]

Tafsiri ya Neno DINI/RELIGION ni nini? Tukitumia kiingereza kwa mfano, WHAT IS RELIGION?
 
Nakukunuu:[emoji116]

"Kwenye Kamusi zote za lugha utakuta maana hii niliyo itoa mimi."

Niwekee hapa Kamusi ya Kiingereza yenye maana hiyo uliyotoa wewe.

IWEKE HAPA.
 
Dini ni njia kilugha. Kiistilahi mfumo wa maisha kwa ajili ya kumuongoza mtu kufikia lengo fulani. Ndiyo maana Kuna wakati matamanio yako ukiyafata husemwa umeyafanya kuwa dini yako.

Nimeshakupa maana tatu za Dini. Sasa tuambie wewe Dini ni nini na utuambie asili ya neno dini ni wapi.
 
Nakukunuu:[emoji116]

"Kwenye Kamusi zote za lugha utakuta maana hii niliyo itoa mimi."

Niwekee hapa Kamusi ya Kiingereza yenye maana hiyo uliyotoa wewe.

IWEKE HAPA.
Sina Kamusi hiyo, ukitaka itafute wewe kwa muda wako. Kadhalika tafuta Kamusi ya Kiswahili na Kiarabu zote zinaishi humo.
 
Wewe chenga kweli chief,kwahiyo kama mwenzangu kajibu nami nirudie majibu hayo hayo.

Halafu nakukumbusha uje na Maandiko kuwa Ukristo ni Dini Kwa mujibu wa biblia
Hakuna mwenzako hata mmoja aliyetoa DEFINITION ya DINI/RELIGION kwa mujibu wa Dictionary kama ambavyo mimi nimeuliza.

Mnapiga-piga tu chenga humu wote.

Iweke hapa Wewe Tafsiri ya DINI/RELIGION kutoka kwenye Dictionary na utakuwa umejibu swali langu.

I dare you, IWEKE HAPA.
 
Nakukunuu:[emoji116]

"Kwenye Kamusi zote za lugha utakuta maana hii niliyo itoa mimi."

Niwekee hapa Kamusi ya Kiingereza yenye maana hiyo uliyotoa wewe.

IWEKE HAPA.
Kingine hata kama ningekuwa na hiyo kamusi kwa utoto unao uleta nisingekuwekea na Kamiusi ziko nyingi sana. Kwa mjinga kama wewe kukuwekea hata hiyo ya Kiswahili ni kupoteza muda.
 
Dictionary ndio bibilia ya toleo la mwaka gani hilo nikalisome leo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…