Usikimbie swali kama mwenzako. Wewe si unajua lugha ya Kiswahili au Kiingereza?Nilijua Tu utatafuta pa kutokea,anyways nachukulia kwamba huna majibu.
Kuhusu Dini ni nini Kisai amekujibu
Ukienda hata Google unapata dictionary kibao, so huna kisingizio.
Nauliza tena kwa mara nyingine. DINI NI NINI? WHAT IS RELIGION?