Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nilisema humu, Hakuna Mwislam amewahi kunijibu hili swali. Ni blah blah tu na kupiga kona.

Hili swali inaonekana ni gumu sana.
 
Huyu anapotezea watu muda. Wajinga sana Wakristo hapo kwa ujinga wake na uongo wake atakuja tena kuandika kwamba Waislamu hawakumjibu swali lake walikimbia. Waongo sana watu hawa.
Huu muda unaotumia kuqoute watu wengine, ungeutumia kujibu swali langu.

Kwani shida ni nini? Swali halijibiki au tatizo ni nini?

How come nyie wavaa kobazi watatu wote mmekula kona kulijibu?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nilisema humu, Hakuna Mwislam amewahi kunijibu hili swali. Ni blah blah tu na kupiga kona.

Hili swali inaonekana ni gumu sana.
Jitekenye tu ukimaliza utwambie kamusi ndio bibilia ya Yesu yupi
Mnajifanya mnajua kumbe mambulula

mnashindwa kuthibitisha ukristo kama ni dini imefikia sasa mnakimbilia dictionary ndio reference ya Yesu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787] ona unavyo chekesha sasa kesho mtakuja na nini sijui kuku nyie

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huu muda unaotumia kuqoute watu wengine, ungeutumia kujibu swali langu.

Kwani shida ni nini? Swali halijibiki au tatizo ni nini?

How come nyie wavaa kobazi watatu wote mmekula kona kulijibu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yesu leo anakimbilia dictionary bibilia yake haijajitosheleza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nilisema humu, Hakuna Mwislam amewahi kunijibu hili swali. Ni blah blah tu na kupiga kona.

Hili swali inaonekana ni gumu sana.
Kesho uje useme hawajibu tatizo mmelishwa matangao pori mengi mna kitu hakija jitosheleza mpaka mnatufata msaada katika kamusi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo uliyoweka ni tafsiri ya msikitini.
Elewa swali, ninataka TAFSIRI YA KAMUSI/DICTIONARY. Mbona mnakuwa wagumu kuelewa?

Hii maana yako inapatikana katika dictionary/kamusi gani?

Niwekee hapa Tafsiri ya DINI/RELIGION kutoka kwenye kamusi/dictionary. Hilo ndilo swali langu.

Hebu Acha blah blah.
 
Kwahiyo kama ni ya Msikitini siyo maana au ? Kwahiyo msikitini hakuna kamusi au msikiti huwa unatoa maana ?

Nakupa maana nyingine hii :

الأديان: جمع دين، والدين في اللغة بمعنى: الطاعة والانقياد.والدين في الاصطلاح العام: ما يعتنقه الإنسان ويعتقده ويدين به من أمور الغيب والشهادة
وفي الاصطلاح الإسلامي: التسليم لله تعالى والانقياد له.
والدين هو ملة الإسلام وعقيدة التوحيد التي هي دين جميع المرسلين من لدن آدم ونوح إلى خاتم النبيين محمد صلى الله عليه وسلم.
قال الله تعالى: إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللّهِ الإِسْلاَمُ [آل عمران: 19] وبعد أن

Hii maana ya nne nakupa. Hiyo ya kwenye Kamusi ya Kiarabu. Sasa utuambie hiyo siyo Kamusi.
 
Waislam wamejitoshelza mpaka tafsiri ya kila kitu wanayo kuku nyie weka na wewe tafsiri ya kanisani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yesu njoo huku uwaambie kama ukristo ni Dini au sio

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sina Kamusi hiyo, ukitaka itafute wewe kwa muda wako. Kadhalika tafuta Kamusi ya Kiswahili na Kiarabu zote zinaishi humo.
Sasa kama huna hiyo kamusi umejuaje kuwa ina maana uliyotoa wewe!!

Nenda Google hapo, kuna dictionary kibao.. Uje hapa Ujibu swali langu.
 
Kingine hata kama ningekuwa na hiyo kamusi kwa utoto unao uleta nisingekuwekea na Kamiusi ziko nyingi sana. Kwa mjinga kama wewe kukuwekea hata hiyo ya Kiswahili ni kupoteza muda.
Huu muda unaotumia kuandika mambo ambayo hayajibu swali, ungeutumia kujibu nilichokuuliza.

JIBU SWALI BWANA KISAI...Acha maneo maneno
 
Sasa kama huna hiyo kamusi umejuaje kuwa ina maana uliyotoa wewe!!

Nenda Google hapo, kuna dictionary kibao.. Uje hapa Ujibu swali langu.
Maana nyingine ni hizi :

الدين في اللغة: مشتق من الفعل الثلاثي: (دان)، وهو تارة يتعدى بنفسه، وتارة باللام، وتارة بالباء، ويختلف المعنى باختلاف ما يتعدى به، فإذا تعدى بنفسه يكون (دانه) بمعنى ملكه، وساسه، وقهره وحاسبه، وجازاه.
وإذا تعدى باللام يكون (دان له) بمعنى خضع له، وأطاعه.
وإذا تعدى بالباء يكون (دان به) بمعنى اتخذه ديناً ومذهباً واعتاده، وتخلق به، واعتقده.
وهذه المعاني اللغوية للدين موجودة في (الدين) في المعنى الاصطلاحي كما سيتبين؛ لأن الدين يقهر أتباعه ويسوسهم وفق تعاليمه وشرائعه، كما يتضمن خضوع العابد للمعبود وذلته له، والعابد يفعل ذلك بدوافع نفسية، ويلتزم به بدون إكراه أو إجبار.
الدين في الاصطلاح: اختلف في تعريف الدين اصطلاحاً اختلافاً واسعاً حيث عرفه كل إنسان حسب مشربه، وما يرى أنه من أهم مميزات الدين.
فمنهم
 
Huu muda unaotumia kuandika mambo ambayo hayajibu swali, ungeutumia kujibu nilichokuuliza.

JIBU SWALI BWANA KISAI...Acha maneo maneno
Nikujibu mara ngapi maana hapa kila nachoweka kina jibu swali lako.
 
Hayo maneno wakati yanaandikwa karne ya 7, lugha zilishakuwepo toka karne nyingi sana.. na hiyo Quran ilitumia lugha.

Na mimi sijakuuliza kuhusu tafsiri za Quran...nimekuuliza kuhusu TAFSIRI YA LUGHA.

Mimi ninakutaka wewe na wenzako mniambie, KWA MUJIBU WA TAFSIRI YA LUGHA...Dini ni Nini?

Hivi mbona hili swali mnaliogopa sana?
 
Ulivyo juha hiyo ni maana ya neno sio quran kuku wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732] Yesu njoo uthibshe huku ukristo dini au Dini wafuasi wameshindwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…