[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kijana acha kupotezea watu muda, kama huna hoja au cha kuandika, Kaa utulie. Au toa wewe maana ya dini, sababu hukosoia maana uliyopewa unarudia rudia swal ambalo umeshajibiwa.
Inaonekana unaijua maana ya dini, tupatie hiyo maana kama huijui na unapinga inaonyesha ni namna gani ulivyo kuwa huna akili, unapinga kitu ambacho hukijui.
Nilisema humu, Hakuna Mwislam amewahi kunijibu hili swali. Ni blah blah tu na kupiga kona.
Hili swali inaonekana ni gumu sana.