Rasmi huna akili..pumbavu, unadhani hao wanafanya hayo ukristo unawakubali? Ukristo uko huru kupembua na kung'amua yapi ni mafundisho sahihi na yapi ni abrakadabra. Kule ukiona mambo hayako sawa unaondoka kwenda kwenye mafundisho sahihi. Kwenye uislam hakuna uhuru wa kuachana mafundisho hayo imeaminishwa ni ya kweli daima na hayabadilishwi. Kuhama tu dini hiyo mtu anaogopa yasije yakamkuta makubwa
Hamza alikuwa imamu wa msikiti upi au wanaomwaga tindikali huyo padri?Tukianza na hamza,na wale waliokuwa wanachoma makanisa na kumwagia tindikali mapadri kule zenji.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ongeza nyingine mnahangaika mpaka vichwa vina wauma lakin ndio kwanza mnazidi kuutangaza uislamu tu na watu wanaendelea kusilimu
jibu hoja, usikimbilie kuhitimisha hiviRasmi huna akili..
Kwani mtume wa mungu anafuata enzi? Mtume anapaswa kufuata YALIYO SAHIHI na sio kufuata enzi...yasiyo sahihi anapaswa kuyakemea...Kaangalie enzi izo Usifananishe na hizi za sasa..
Yesu hakuoa kabisa wala hakuwa na mwanamke ,we hyo amri ya kuoa way kuwa na mke umeitoa wapi?
Tupe reference inayo sema hayuko sahihi au ndio ipo kwenye dictionary [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani mtume wa mungu anafuata enzi? Mtume anapaswa kufuata YALIYO SAHIHI na sio kufuata enzi...yasiyo sahihi anapaswa kuyakemea...
Enzi zile ushirikina ulikuwepo, lakini hakuufuata. Alifuata yaliyo sahihi , right?
Sasa ilikuwaje kwenye kuoa Asifuate yaliyo sahihi afuate enzi?
Ni ngumu sana kumtetea yule jamaa kwenye hii ishu ya kuoa katoto ka chekechea...labda ujitoe akili tu.
Una hakika huyo aliyeoa alikuwa na umri miaka 9 ni sawa na zama za sasa ..ebu jaribu kucheza na zama then uje hapo wapo watu miaka ya ya 1930's wameolewa miaka 13 na ni TanzaniaKwani mtume wa mungu anafuata enzi? Mtume anapaswa kufuata YALIYO SAHIHI na sio kufuata enzi...yasiyo sahihi anapaswa kuyakemea...
Enzi zile ushirikina ulikuwepo, lakini hakuufuata. Alifuata yaliyo sahihi , right?
Sasa ilikuwaje kwenye kuoa Asifuate yaliyo sahihi afuate enzi?
Ni ngumu sana kumtetea yule jamaa kwenye hii ishu ya kuoa katoto ka chekechea...labda ujitoe akili tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ongeza nyingine mnahangaika mpaka vichwa vina wauma lakin ndio kwanza mnazidi kuutangaza uislamu tu na watu wanaendelea kusilimu
Amuoni ajabu tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mtoa mada huwa ana vimelea vya ushoga kwa mbali ndio maana nimejaribu kumfuatilia posts zake hana hoja wala chochote .yeye ana andika kwa kuwa haupendi uislamu na waislamuKujitambua kuwa wewe ni nani na kuwa mdadisi ni kitu kizuri ila ukishaunganishwa imani tu basi ndo akili inapotea.
Nazungumzia ndugu zetu wenye imani ya kiislamu kwa vijana wenzangu. Maisha tunayotafuta na makazi tunaishi na watu tofauti ila bahati nzuri asilimia kubwa maeneo niliyopo na kazi asilimia kubwa wenye imani ya Kiislamu.
Kiukweli kilichonishangaza siku moja mpaka naeleza hivi kuona mtu mwenye cheo cha sheik akiwaambia vijana kama kupotosha kuhusu mgogoro na vita inayoendelea huko Urusi na Ukraine. Ni kwamba Urusi inaipiga Ukraine sababu anatetea Uislamu, lengine kuhusu vita vya Kagera mpaka kuna CD zimejaza hayo hayo.
Kitu chengine sitasahau sheik mmoja anaeleza kuhusu Rwanda mauaji ya kimbali ni dini wakati ukabila na siasa.
Kuna mengi ambayo vijana wanadanganywa kwa kupandikizwa kitu bila kujua.
Ukiona mtu anasema yule ni malaya basi tambua yeye ni mshiriki ? Kwa nini ujuwe fulani ni shoga kama sio wewe ni shoga.Mtoa mada huwa ana vimelea vya ushoga kwa mbali ndio maana nimejaribu kumfuatilia posts zake hana hoja wala chochote .yeye ana andika kwa kuwa haupendi uislamu na waislamu
Ndio maana anapapara na uandishi wake ,huwa anatumia utashi na kila anachosikia kuhusu uislamu
Kiufupi huyu jamaa hana anachojua kuhusu uislamu
Sasa eti anasema vijana wa kiislamu wameshikiwa akili ??? Kweli??? Hivi unajua vijana wa kiislamu au unawasikia??
Basi kwa taarifa tako vijana wa kigalatia ndio wameshikiwa akili kwa kuaminishwa kuwa uislamu ni m,baya wakati kila mtu anajionea mambo yanavyokwenda kwa kasi
Iko poa kabisaKwani hiyo picha ina ubaya gani??
Kwa hiyo karne hiyo ndio alitumwa na Mungu kukaoa hako ka binti. Munamfuataje kwa hili, au alisema huko karne zijazo msiige/msinifuate. Sifa kuu ya mtume ni kuwakilisha kile alichotumwa na Mungu.Kabinti cha miaka 9 unaongeal Karne ipi ? Bibi yako Karne ya 20 kaolewa na miaka 12 utasemaje ivyo na mbona sasa kuolewa juu ya 25 ni kawaida.
Usifananishe zile ni zama tofauti ndo maana manabii wengine wakiishi miaka buku je wewe baby yako haya miaka 150 alifika..
Muhamad (SAW) ni mtume wa mwenyewe Mungu.
Kijana unatakiwa usome sana la sivyo utakuja kuwa mzee mjinga sana..
Wapi maandiko ynasemwa alitumwa na umri tambua umefanyiwa estimation kutokana na nyakati...Ebu jaribu kusoma vizuri ndo maana hata estimation ya kuzaliwa kwa yesu hamjui eti December 25Kwa hiyo karne hiyo ndio alitumwa na Mungu kukaoa hako ka binti. Munamfuataje kwa hili, au alisema huko karne zijazo msiige/msinifuate. Sifa kuu ya mtume ni kuwakilisha kile alichotumwa na Mungu.
Huyo ni mtume wenu endeleeni kwa imani yenu kumfuata.
Hakuna cha zama acheni kutetea Ujinga.Una hakika huyo aliyeoa alikuwa na umri miaka 9 ni sawa na zama za sasa ..ebu jaribu kucheza na zama then uje hapo wapo watu miaka ya ya 1930's wameolewa miaka 13 na ni Tanzania
Izo ni sheria kama hujui kwa sasa umri wa mtu mzima ni miaka 22 sio 18 ,wakilenga miaka 22 bado watu wanategemea wazazi .
Ebu nenda huko manyara ua wamasai ukaone wanaozeshana miaka mingap
Hakuna kitabu chochote kama unacho leta kwamba mtume kuoa kwake alienda kinyume na maadili ya jamii Yake,mbona alioa mwanamke mkubwa kuliko yeye husemi.
We endelea kufuata wazungu
Hebu mimi na wewe tumuige mtume.Wapi maandiko ynasemwa alitumwa na umri tambua umefanyiwa estimation kutokana na nyakati...Ebu jaribu kusoma vizuri ndo maana hata estimation ya kuzaliwa kwa yesu hamjui eti December 25
Sasa we si hatuoa kabisa🤔Hebu mimi na wewe tumuige mtume.
Hebu wewe nipe binti yako wa miaka 6 nimuoe halafu nije kumuingilia akiwa na miaka 9...
Umesahau kuna Mkubwa wao mmoja juzi katemblea Aftrca kuna watu wametembea miles za kutosha wakamshike miguu wabarikiwe, huu ni uzwazwa mkubwa sana.Hakuna kijana wa kiislamu anaweza kushikiwa akili kwani muongozo yetu ni Qur an .. Migogoro mingi ni upumbavu wa watu kadhaaa Haina uhusiano na dini.
Wakristo ndo wapumbavu kwamba kushikiwa akili juzi hapa tu na kibwetele walichomwa, then Kuna yesu wa Kenya kashaanza kupata wafuasi, Bado Kuna mnyakyusa anaitwa mtume tayar.
Wakristo ni rahisi kuwashikia akili kwa sababu wanafuata wazungu na sio dini na wala yesu hawamjui..Leo wanalishwa majani kanisani eti wokozi, leo Wana madhehebu zaidi ya mia na wanachukiana eti wa huko haweza kusali huko na vicer versal.
Kwa ulichoandika ni porojo historia za vita zipo za aina tofauti zilizoandikwa kweny syllabus ya kusoma shule then Kuna uhalisia ni mambo yanayo kinzana.
Mtume hatakiwi afanye lile asilotumwa na aliemtuma. Hata asiposema matendo yanaongea mfuateni huyo ni mtume wenu. Ma-estimation yalifanywa tuchukulie yalikosewa, badilisheni basi angalau iwe alioa binti wa miaka 14 angalau.Wapi maandiko ynasemwa alitumwa na umri tambua umefanyiwa estimation kutokana na nyakati...Ebu jaribu kusoma vizuri ndo maana hata estimation ya kuzaliwa kwa yesu hamjui eti December 25