Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Mwandishi
Hemedyjrjunior
/kimodomsafi
........
Allhamudulilah kwa siku nyingine tena
allha anazidi kutenda mijuiza Amen.
Leo niko na mada.
Hakuna dini itakayokupeleka mbinguni tofauti na matendo yako mema yamfurahishayo mungu.
Watu wengi wamekuwa wakikadhania dini njoo uku, twende kule yaani kutanga tanga na shida za dunia ila hawajui ukianza kutanga tanga nikwamba umekosa direction so kinachofuta unaenda kuanguka.
Tumejaliwa elimu ya kuweza kutambua mambo au majambo kuna vitu viko kwasababu ya utashi wa binadamu kwakuw binadamu yuko na maarifa na mwenyezi mungu amemjalia mwanadamu maarifa so usishangae kinachofanywa na MWANADAMU afu ukapagawa . Icho hata sio punje , mungu anatenda na kuonesha ukuu wake.
Dini ni mwongozo katika maisha ya binadamu kidunia kwahyo ni taasis za watu au ya mtu ili mambo yaende ila ukikosa ufahamu utabisha mpaka kufa. Kwenye dini ndo kunakozungumzwa maswala ya mungu na kuhabarishana historia za waliopita walifanya nini .nadhani naeleweka..... na dini zilikuja au zilietwa na watu ili wafanye biashara (hapa sio kwamba uniamini but najaribu kuumiza kichwa wakati usislamu unakuja waarabu walikuwa wanafanya biashara ya utumwa kwahiyo mwenyezi mungu alikuwa anapenda vile au ilikuwa njia sahihi ya kuijua dini ni nini? Maana ilikuwa ni mateso kwa kipindi hicho. Hata hivyo na kwa wakristo wamissionary nao WALIKUJA kwa gia hiyo ya kununua watumwa na kueneza dini yao uku wakianzisha shule za seminar KUFUNDISHA upadiri n.k.
Narudia dini bora ni imani yako thabit ya kumwamini Mola wako kila kuchwao na kutenda mema kushika yote aliyokataza na aliyoamrisha kufanywa mengine wameongeza kutokana na dini zao zinavosema .
Elimu | akili......
Ukiwa na akili utapata elimu....
............... uwe na siku njema.................
Dini lengo iwepo amani ila sasa now vita iko kwasababu ya dini, watu wanatengana kwa sababu ya dini duuh Allha tufungue,tunusuru maana sio kwema kila mtu anajiona mbora zaidi ya mwenzake.
Waarabu/wahindi au watu weupe ubaguzi kwa waafrika hapa kulikoni.....
 
Acha kuandika Insha wewe. Hapo umesema mara ngapi yasiyo kwenye uislamu na umelazimsha yae ni ya uislamu

Unaleta ngonjera upande wako baada ya kibano tena cha picha halisi

Hao ni wakristo kila mtu anawaona

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
wakristo gani hao wasioendana na maadili ya ukristo? Msipende kutupia ukristo takataka
 
Hivi majuzi ulisikia kanisla la england likiomba radhi kwa madhila lililofanya karne nyingi zilizopita? Au huwa unasikia kanisa katoliki likiomba radhi kwa watumishi wake kuhusika na ukora wowote duniani? Ni lini uislam nao utaomba radhi kwa wale waumini wake kufanya biashara ya utumwa. Hoja yako iangazie pia na upande mwingine. Hata shetani hutumia maandiko matakatifu kufanya hadaa
 
Unataka turudie tena au hawahapa
JamiiForums1305089005.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hivi majuzi ulisikia kanisla la england likiomba radhi kwa madhila lililofanya karne nyingi zilizopita? Au huwa unasikia kanisa katoliki likiomba radhi kwa watumishi wake kuhusika na ukora wowote duniani? Ni lini uislam nao utaomba radhi kwa wale waumini wake kufanya biashara ya utumwa. Hoja yako iangazie pia na upande mwingine. Hata shetani hutumia maandiko matakatifu kufanya hadaa
Lakini kila mara kuna kesi za kina Maalim kule Madrasa wakishutumuwwa kuwabaka watoto pia
 
Hivi majuzi ulisikia kanisla la england likiomba radhi kwa madhila lililofanya karne nyingi zilizopita? Au huwa unasikia kanisa katoliki likiomba radhi kwa watumishi wake kuhusika na ukora wowote duniani? Ni lini uislam nao utaomba radhi kwa wale waumini wake kufanya biashara ya utumwa. Hoja yako iangazie pia na upande mwingine. Hata shetani hutumia maandiko matakatifu kufanya hadaa
Nime kwambia acha kutoa povu unapo ambiwa ukweli hao wakatoliki wana haki kuomba radhi kwa sababu ndio wauzaji wakubwa wa watumwa Duniani we unataka kujua sema ufundishwe

Kutoka 21:20
20 Mtu akimpiga mtumwa wake, au kijakazi chake, kwa fimbo, naye akifa mkononi mwake, hana budi ataadhibiwa.
21 Lakini akipona siku moja au mbili hataadhibiwa; maana, ni mali yake

we jamaa una id ngapi? Kuna id tatu nanyukana nazo, isije ikawa ni zako, isije ikawa ni watu watatu kumbe ni mmoja. Tuendelee kunyukana, dhana ya utumwa ni pana, mtumwa na kijakazi ni shambaboy na housegirl kwa siku za leo. Je unaweza kuwaita ni watumwa wale? Hebu uwe unaelewa matumizi ya maneno ya biblia na misamiati yake. Ukisikia watu wanaitwa chawa haina maana ni chawa mdudu parasite
 
Mwanzo 25 :26
Wana wa Zilpa, kijakazi wa Lea, ni Gadi na Asheri. Hawa ndio wana wa Yakobo aliozaliwa katika Padan-aramu.

We ngoja nikunyuke sio tunyukane

Naona ushaanza kurukaruka

Nakufundisha utumwa ulikua unafanywa na wakristo tena kupitia bibilia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwanzo 25 :26
Wana wa Zilpa, kijakazi wa Lea, ni Gadi na Asheri. Hawa ndio wana wa Yakobo aliozaliwa katika Padan-aramu.

We ngoja nikunyuke sio tunyukane

Naona ushaanza kurukaruka

Nakufundisha utumwa ulikua unafanywa na wakristo tena kupitia bibilia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ni usiku saa tano, lala utachoka we ni mtoto mdogo huniwezi. Nimekuambia hao vijakazi ni hawa house girl, ina maana nyumba yenye hausi girl na shamba boy ni watumwa? Kama huna jibu lala
 
Ina onesha hujui historia vizuri wewe
Hawa wakristo ndio walio uleta utumwa kupitia maandiko hapo chini

Wakatoliki nao hawakuwa nyuma kwenye kutumia biblia kuhalalisha ukoloni, tokea mwaka 1517, hata Askofu mmoja aitwaye Las Casas wa uingereza aliagiza meli yenye watumwa kutoka Afrika na ombi lake likakubaliwa na mfalme Charles wa 5. Kibaya zaidi hata mapadre wa kikatoliki maarufu kama Capuchin missionaries walifungiwa na kanisa katoliki baada ya kudai watumwa wapandishwe hadhi huko marekani. Hata waasisi wa mwanzo wa kaniasa kina St.Augustine kwenye maandiko yake alisema utumwa ni taasisi iliyotokana na Mungu hivyo ni faida kwa mtumwa na Bwana wake. Na hata uongozi wa juu kabisa wa kanisa yaani ofisi ya Papa walisupport utumwa mfano Papa Martin 1 mwaka 650 AD alitoa waraka kuagiza kutimuliwa kanisani kwa viongozi wowote watakaofundisha watumwa kujikomboa ama kupinga ukoloni?? Na mafundisho haya walitumia vifungu hivi vya Biblia kuhalalisha.

Kutoka 21:20
20 Mtu akimpiga mtumwa wake, au kijakazi chake, kwa fimbo, naye akifa mkononi mwake, hana budi ataadhibiwa.
21 Lakini akipona siku moja au mbili hataadhibiwa; maana, ni mali yake

EFESO 6:5
5 Enyi watumwa, watiini wao walio bwana zenu kwa jinsi ya mwili, kwa hofu na kutetemeka, kwa unyofu wa moyo, kana kwamba ni kumtii Kristo;

Nakuonya usiwe mropokaji wakati huna ujuwalo

Tena yapo maandiko ya wazi ya biblia yakionesha utumwa ni nini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app[/IMG]
 
Hv kama siku inapita bila kuongelea vibaya uislam unahisi utabanduka au?!kila siku unatunga story za kubumba bumba tu ,acha chuki uislam ulikuwepo tangia dunia inaumbwa na utakuwepo mpaka mwishi wa dunia hii inshallah...
Kwahiyo na wewe ulikuwepo wakati uislam unaumbwa?miafrika mingine bora ikaolewe tu hiko uarabuni.

Vitu viko wazi uislam=ukoo wa islam ambao unapatikana uarabuni sasa nyie mbweha wa kiafrika mnaingiaje?
 
Back
Top Bottom