Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

MWAFRIKA anayejitambua si muislam wala mkristo yuko NEUTRAL katika imani yake ya KIAFRIKA.

Mpumbavu yeyote atauamini uislam na ukristo huku akijua kabisaa ukristo ni style ya maisha ya ukoo wa kristo na uislam ni style ya maisha ya ukoo wa islam.
 
Kijana uislam ni kumpwekesha mungu mmoja tu bila ya kumshirikisha ,hvyo basi ndio mlengo wa Manabii wote kuanzia adam mpka wa mwisho ni Muhmad wote hao ni katika waislam na walijiweka mbali na ushirikina.
Allah anasema ..قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ

(AL - BAQARA - 136)
Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa(Yesu), na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao(wote ni katika waislam), na sisi tumesilimu kwake.

Mwisho haya ya uislam kuwa ndio dini ya asil ya mwanaadam ,kumfanya mungu awe pekee yake bila kuwa na mshirika ,kuzaa au kuzaliwa au kufanana naye,Viongozi wako wa dini wanayajua vile kuliko ww mbumbu
Allah anasema

الَّذِينَ آتَيْنَاهُمُ الْكِتَابَ يَعْرِفُونَهُ كَمَا يَعْرِفُونَ أَبْنَاءَهُمْ ۖ وَإِنَّ فَرِيقًا مِّنْهُمْ لَيَكْتُمُونَ الْحَقَّ وَهُمْ يَعْلَمُونَ

[ AL - BAQARA - 146 ]
Wale tulio wapa Kitabu(wikiristo na wayahudi)wanayajua haya kama wanavyo wajua watoto wao; na kuna kikundi katika wao huificha haki na hali wanajua.

إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ ۗ وَمَا اخْتَلَفَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ إِلَّا مِن بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْعِلْمُ بَغْيًا بَيْنَهُمْ ۗ وَمَن يَكْفُرْ بِآيَاتِ اللَّهِ فَإِنَّ اللَّهَ سَرِيعُ الْحِسَابِ

[ AL I'MRAN - 19 ]
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu(wakiristo na wayahudi) hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.
Kwahiyo huyo Allah alishindwa kuyasema hayo yote kupitia Waafrika au lugha za Kiafrika hadi apitie kwawaarabu na lugha ya kiarabu?wewe ni nguruwe usiyejitambua
 
Aaah? Hii hoja yako mbona nyepesi sana? Tulia nikusambaratishe kwa kutumia historia na maandiko uliyoyatumia kujenga hoja yako naipangua kama naserereka mlima kilimanjaro. Huwezi kushinda kirahisi hivi. Subiri nisome nije nipangue hoja yako ubaki mtupu
 
Hapa nachomoka baba, dhana ulizotumia kujenga hoja yako, hizohizo nami nazitumia kupangua. Tutanyukana sana tu na utaukimbia uzi, ngoja nisome biblia na mkataba wa Moresby treaty uliopinga biashara ya utumwa duniani. Umekutana na mashine kubwa, usiwe mvivu kusoma ili ule za uso nikuelimishe kuhusu biashara utumwa
 
Kwahiyo na wewe ulikuwepo wakati uislam unaumbwa?miafrika mingine bora ikaolewe tu hiko uarabuni.

Vitu viko wazi uislam=ukoo wa islam ambao unapatikana uarabuni sasa nyie mbweha wa kiafrika mnaingiaje?
wanafuata mkumbo tu bila kutafiti ukweli wa mambo yalivyo
 
MWAFRIKA anayejitambua si muislam wala mkristo yuko NEUTRAL katika imani yake ya KIAFRIKA.

Mpumbavu yeyote atauamini uislam na ukristo huku akijua kabisaa ukristo ni style ya maisha ya ukoo wa kristo na uislam ni style ya maisha ya ukoo wa islam.
Wapo, ila wamejishikiza kwenye dini hizo kama geresha tu, hawa hawana mihemko mikali ya kidini. Ukikuta muislam jina tu huwa wako peace sana utawapenda
 
Aaah? Hii hoja yako mbona nyepesi sana? Tulia nikusambaratishe kwa kutumia historia na maandiko uliyoyatumia kujenga hoja yako naipangua kama naserereka mlima kilimanjaro. Huwezi kushinda kirahisi hivi. Subiri nisome nije nipangue hoja yako ubaki mtupu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ushakula chochoro
Soma nakusubiri

Usisahau nishakwambia kuna wenzio sasa wakiona comment zangu wanatetemeka

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hapa nachomoka baba, dhana ulizotumia kujenga hoja yako, hizohizo nami nazitumia kupangua. Tutanyukana sana tu na utaukimbia uzi, ngoja nisome biblia na mkataba wa Moresby treaty uliopinga biashara ya utumwa duniani. Umekutana na mashine kubwa, usiwe mvivu kusoma ili ule za uso nikuelimishe kuhusu biashara utumwa
Soma nakusubiri [emoji3][emoji3][emoji3] we soma mimi nalala usisahau uwo mkataba uwe kwenye bibilia kama nilivyo kuwekea

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo huyo Allah alishindwa kuyasema hayo yote kupitia Waafrika au lugha za Kiafrika hadi apitie kwawaarabu na lugha ya kiarabu?wewe ni nguruwe usiyejitambua
Angalia aliyeshushiwa hayo maneno kama mjumbe ...Hata leo kweny mkutano wa kimataifa lazima aende raisi au waziri mwenyedl dhamana na yeye ndo analeta ujumbe kwa wote anakuwa kama mwakilishi.

Inakuwaje kama mwakilishi ni jamii ya kiarabu lazima itumike njia hyo na Haina ubaya kwani inaweza kutafsiriwa kwenda lugha nyingine na ikaeleweka...haijalishi itakuwaje wala haujalazimishwa ndo maana na sisi hakuna kitu utatuforce dhidi ya upumbavu wako wa kulewa ,uzini na kula mangurue tukuelewe.
 
Hapa nachomoka baba, dhana ulizotumia kujenga hoja yako, hizohizo nami nazitumia kupangua. Tutanyukana sana tu na utaukimbia uzi, ngoja nisome biblia na mkataba wa Moresby treaty uliopinga biashara ya utumwa duniani. Umekutana na mashine kubwa, usiwe mvivu kusoma ili ule za uso nikuelimishe kuhusu biashara utumwa
 
Hapa nachomoka baba, dhana ulizotumia kujenga hoja yako, hizohizo nami nazitumia kupangua. Tutanyukana sana tu na utaukimbia uzi, ngoja nisome biblia na mkataba wa Moresby treaty uliopinga biashara ya utumwa duniani. Umekutana na mashine kubwa, usiwe mvivu kusoma ili ule za uso nikuelimishe kuhusu biashara utumwa

Unauliza kivipi dini za wakoloni ni utumwa wa akili kwa Waafrika na Zina athari gani kwetu dini si dini tu kila mtu na Imani yake? Ngoja nikujibu

1. Dini za kikoloni zinatushawishi kua sisi waafrika ni wafataji tu hatukua na mchango wowote na hatuna mchango wowote.Ukisoma Uislamu kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa Uislamu Ni kuhusu waarabu na mambo yote yanawahusu wåårabu tu
(A) ukitaka kuzungumza na mungu kwenye swala/ maombi Ni lazima ujue lugha ya watu wengine ni lazima uzungumze nae kwa lugha ya wåårabu Ina maana mungu anaelewa lugha moja tu ya kiarabu kwanini nisizungume lugha yangu tu?
(B) waislamu wanaambiwa peponi wote watazungumza kiarabu fasaha ndio Kama lugha rasmi ya peponi na ya kuwajumuisha watu wote kule
(C) mitume yote ya kiarabu na makabila ya huko kwao hakuna mtume alietumwa hata kwa bahati mbaya huku kwetu hata mmoja
(D) sehemu takatifu zote ziko uarabuni na nchi zenye waarabu Makka,Madina na Palestine na ili usamehewe dhambi zako zote Ni lazima uende Makka Kama una uwezo Ni ndoto ya kila muafrika muislamu kwenda hapo
(E) mavazi mataktifu ya Uislamu Ni mavazi ya wåårabu(kanzu,hijabu) waarabu wameanza kuvaa kanzu kabla ya Uislamu kanzu sio vazi la Uislamu
🔑 NIAMBIE wewe sasa waislamu watawaonaje waarabu kama kila kitu wanachotamani kwenye maisha Yao Ni cha wåårabu mtu unazungumza lugha yao, una ndoto ya Kwenda kwenye pepo yao, sehemu takatifu yako Ni ya kwao, mavazi yako mataktifu Ni ya kwao, si utawaona Kama wao wamebarikiwa kushinda wewe na wao Ni kizazi pendwa cha Mungu hii inamadhara makubwa sana kwenye saikolojia ya mwanadamu ndio Mana leo ukiwasema waarabu waislamu wanakuja juu hawataki watu waliochaguliwa na Mungu wasemwe vibaya wako radhi kupigana kwa akili Yao watakutukana kwenye comment kisa umewasema waarabu na huu ndio utumwa wa akili tunaouzungumzia kuna watu mapaka wanatamani wafute historia ya wakoloni wao ili tu waonekane wameletewa dini kistaarabu Ila Hakuna dini iliyokuja kistaabu dini zote zimekuja kwa utumwa na maovu jinsi mnavyozidi kua wåårabu ndivyo jinsi mnapoteza uafrika wenu Ile roho ya kiafrika mnapoteza mnajichukia wenyewe

2. Dini zinatufundisha tukitaka kukubalika kwa Mungu kwanza tujikatae sisi wenyewe Yani uache desturi zako zote na uanze kufata desturi za watu wengine ili Mungu akupokee unadhani ni huyo Mungu Ni wa kwako kweli ?

3. Dini zilitumika kututenganisha waafrika na mpaka leo Ni tabu Sana nchi za kiafrika dini zimekua tatizo na udini hautoisha Kama hatutoondoa dini zao

4. Ukienda kwa wakristo pia hivyo hivyo kila kitu Chao kinahusiana na wazungu wa Israel wanaamini wale wamebarikiwa na wao walilaaniwa kwakua Ni kizazi cha mtoto wa Noah alieuona utupu wa babaake hivi inataka kuniambia watu wasijichukie tu Kama ndio wanaaminishwa hivi? Ukiwasema wazungu Leo utawaona wakristo wanakujia juu Ila mbona hao wåzungu hawana mda na nyie hata mkiuliwa ? Mfano mzuri wazungu wanaandamana kwa ajili ya Vita ya Ukraine ila hawajawahi na hawatowahi kuandamana kwaajili ya maafa yanayotokea Afrika hata siku moja ni wewe tu unaumia kwa ajili ya mabwana wako

Rudi kwenye asili yako muafrika achana na dini zao walizotumia kututawala bado zinakutawala kifikra.

UKUU WA MWAAFRIKA NA IJUE AFRIKA

Africa wake up
Kwa waislamu Kuna nabii katokea afrika. je kuhusu ww unaetetea hko Kuna nabii wa kiafrka
 
Muislam silaha aliyo nayo ni ubishi ukimzidi ubishi anacharuka na kuwa mkali sana[emoji28][emoji28]ukifanikiwa kumtuliza hapo,unambatiza dkk tatu baadae.

Ndacha anawaweza hawa kenge,anazibuaga makofi mpaka wanakaa.
Hivi huyu ndacha ni dhehebu gani? Maana wasabato wanamkana

Anajua sana biblia na quran

Anaijua biblia sana na ukweli wake
 
Wazee wa Uamsho,Shekhe Ponda,Shekhe mstaafu wa mkoa wa Dar,na wengine wamewahi kuwashika masikio vijana wa Kiislamu.
SI Bora kushikwa masikio kuliko kushikwa matako na wazungu eti mapenzi ya jinsia Moja ndicho mnachohubiriwa sasa hivi ili wawabinue
 
Back
Top Bottom