Kuna wimbo wa BARAKA DE PRINCE ameimba bila kutumia neno "MOYO"?

Kuna wimbo wa BARAKA DE PRINCE ameimba bila kutumia neno "MOYO"?

Hv nae siza madini yupo wapi?
There is no way angesurvive maana mziki wake ulikuwa wa kawaida sana.
Wapi hussein machozi wote wasanii wa Kid Bway tetemesha records uwa wakiondoka wanaondoka kwa maringo lakini uwa wanapotea na anaibuka na mwingine.
Kwasasa kamleta kwenu Koyo
 
Back
Top Bottom