stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Na Nani?Leo naona uko zamu Mkuu.
Hivi huwa mnalipwa kiasi gani?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Nani?Leo naona uko zamu Mkuu.
Hivi huwa mnalipwa kiasi gani?!
Mkuu nawe ni expert member wa JF?Huu ujinga wa kulaumu Rais kwenye kila KITU tumeshauchoka SASA tumechoka tumechoka tumechoka, wewe itakua hata ukishakunya utataka Rais akuchambe na ikiwa kwamba Mavi umekunya mwenyewe unaanza kulialia unataka Rais akuchambe kwani wewe hauna Mikoni ya kujichamba umekatwa Mikono wewe?
Bottom line huwezi kuajiri kila IT unae msomesha, hata US asilimia kubwaa hawajaariwa na serikali. Walichofanya wao ni kutengeneza mazingira ambayo yataleta ajira ziatakazo demand IT wengi. Na wengi wako private sectorVijana wamesoma IT wapo Street kazi hawana Ajira hawana HAPO ni mwendo wa kuchekecha mifumo TU mpaka kieleweke yaan mpaka Akili ziwakae Sawa
Hivi Serikali haioni km ni HATARI kusomesha Hawa vijana Teknolojia ya Habari na Mawasiliano alafu kuwaacha TU mitaani wanazagaazagaa unafikiri wata-practice wapi kile walichojifunza miaka mingi km SIO kwenye HIO HIO mifumo YAO?
Huhitaji knowledge ya IT kufanya haya wanafanya hizi mambo wana work in team. Kuna watu wa benki, na mwezeshaji. Watu wa benki wana provide means, na waliko nje ya benk wana provide service. Wakikutana inakuwa hivyoHizo hela zinachepushwa na kuingia mifukoni mwa watu! Mbona hiko wazi? Issue ya Mbeya na Arusha uliisikia? Issue ya michango ya waajiriwa kwa mifuko ya jamii hasahasa PSSSF uliisikia? Hela yote inapigwa! Nani wa kuliokoa taifa hili jamani? Labda Makonda tumpe nchi!
Outsider member wa JF, njoo na swali jingineMkuu nawe ni expert member wa JF?
Ndio umekaririshwa hivyo?I say si rahisi na level ya hatari ni ndogo mno
Unworking government machineries, kwasasa bodaboda zinakamatwa eti zilisajiliwa kwa jina la muuzajihapa naongezea pikipiki mpya mfano walikuwa wanaitumia jina la hajue ama Suzuki badala ya jina la mnunuzi shida inakuja unatakiwa ulipie Tena gharama za usajili kwanini wanchi waingie gharama kwasababu ya uzembe wao? Ila kwasababu jamili hawezi kuhoji matokeo yk Ndiyo km hayoNinapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi moja.
Nitatoa mfano;
Nilikuwa nadaiwa pesa yapata laki nne nikapewa control number. Hata hivyo nilitaka kuzilipa kwa awamu mbili, lakini mfumo ulinilazimisha nilipe pesa yote kwa wakati mmoja.
Siku nyingine nilitakiwa kulipa laki na elfu sitini, hata hivyo kwa haraka zangu nilijikuta nimelipa online kupitia benki kiasi cha laki moja na nusu. Nikasubiri majibu kuwa nimelipa, lakini haikunipa majibu yoyote. Nikaenda benki wakaniambia pesa imekatwa na kulipa hiyo pesa lakini control number bado inaonekana haijapokea malipo.
Kwa vile ilikuwa na deadline, niliamua kulipa kupitia njia ya tigo pesa halafu nikawadai benki ile pesa waliyokata kwenye akaunti yangu. Wao wakasema nao wanaidai kwenye taasisi iliyoikata pesa hiyo. Ni mwezi wa tano leo sijaipata pesa hiyo.
Pia kuna wakati nilipigwa faini barabarani kwa kuzidisha spidi ya gari. Nilivyoandikiwa control number, ilionesha jina la mmiliki wa awali wa gari, wakati nilishabadili umiliki TRA. Nilijiuliza kwa nini mifumo hii haisomani? Au kuna kitu kipo nyuma ya pazia hatukijui?
Nashawishika kuamini kuna hujuma kubwa sana inafanywa kwenye hii mifumo na huenda kuna vigogo wa siri hii.
Kwa hali ilivyo, ni Rais pekee ndiye anaweza kufanya kitu. Badala ya kuagiza wanaosimamia mifumo hii wachunguze, anapaswa kuagiza watu wa usalama wa taifa wafanye kazi hiyo. Ikibidi watafute wataalamu wa nje kama vile Israel kuwasaidia. Vinginevyo watu watakuwa wakitakatisha pesa tu na hatuwezi kuwajua.
Pia soma: DOKEZO - Serikali inapata hasara ya mabilioni kwa watumiaji wa mifumo ya TEHAMA kulipia huduma isiyoendana na kiasi cha fedha kilicholipwa
Inawezekana ila nadhani vijana wachache sana graduate wana huu utundu na huo ujasiri. Elimu yetu ni makaratasi zaidi. Hili suala ni hao hao wa serikalini.Vijana wamesoma IT wapo Street kazi hawana Ajira hawana HAPO ni mwendo wa kuchekecha mifumo TU mpaka kieleweke yaan mpaka Akili ziwakae Sawa
Hivi Serikali haioni km ni HATARI kusomesha Hawa vijana Teknolojia ya Habari na Mawasiliano alafu kuwaacha TU mitaani wanazagaazagaa unafikiri wata-practice wapi kile walichojifunza miaka mingi km SIO kwenye HIO HIO mifumo YAO?
Wachache ukimaanisha Nini?Inawezekana ila nadhani vijana wachache sana graduate wana huu utundu. Elimu yetu ni makaratasi zaidi.
Naamisha kwa elimu yetu tunavyoijua si rahisi kuwe na idadi kubwa ya graduates wenye uwezo na ujasiri wa kuchezea mifumo ya serikali ya malipo. Hili ni suala la experts kupitia viongozi wa serikali.Wachache ukimaanisha Nini?
Kukariri hakuko kwenye dictionary yangu, lakin pia nimefanya kazi kwenye hiyo industry since 2002, nimepata nafasi kuona IT industry bongo ikikua from kuwa worse mpaka sasaNdio umekaririshwa hivyo?
Basi endelea kufikiri, unawakumbuka wale wa Chuo X ambao walichekecha wakawa wanasoma bure mpaka waliposhtukiwa baaadae na HAO SIO kwamba walikua mtaani walikua Chuoni, HAPO unasemaje?Naamisha kwa elimu yetu tunavyoijua si rahisi kuwe na idadi kubwa ya graduates wenye uwezo na ujasiri wa kuchezea mifumo ya serikali ya malipo. Hili ni suala la experts kupitia viongozi wa serikali.
Bado haujajua au niseme ni sawa unaishi SEHEMU 1 kwa HIO umeishia kuikaririsha SEHEMU 1 unayoiishiKukariri hakuko kwenye dictionary yangu, lakin pia nimefanya kazi kwenye hiyo industry since 2002, nimepata nafasi kuona IT industry bongo ikikua from kuwa worse mpaka sasa
So i najua ninacho kisema
Wewe uwezo wako mkubwa umekufikisha wapi? tuanzie hapaMnataka wote tuwe machawa, tutamkosoa kwa kifupi uwezo wake ni mdogo..
Kwa sasa maeneo yote ya Fedha mtandao kama Tigo Pesa, Mpesa nk hawataki ulipe kwa control number! Mfumo upo corrupted kwa kiwango kikubwa sana! Wanadai wakilipa malipo hayaonekani nk!!! Wapo wengine wanalipia baadaye unaambiwa malipo hayaonekani au hayajafika na mwishowe kama hukutunza ushahidi inakula kwako!Ninapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi moja.
Nitatoa mfano;
Nilikuwa nadaiwa pesa yapata laki nne nikapewa control number. Hata hivyo nilitaka kuzilipa kwa awamu mbili, lakini mfumo ulinilazimisha nilipe pesa yote kwa wakati mmoja.
Siku nyingine nilitakiwa kulipa laki na elfu sitini, hata hivyo kwa haraka zangu nilijikuta nimelipa online kupitia benki kiasi cha laki moja na nusu. Nikasubiri majibu kuwa nimelipa, lakini haikunipa majibu yoyote. Nikaenda benki wakaniambia pesa imekatwa na kulipa hiyo pesa lakini control number bado inaonekana haijapokea malipo.
Kwa vile ilikuwa na deadline, niliamua kulipa kupitia njia ya tigo pesa halafu nikawadai benki ile pesa waliyokata kwenye akaunti yangu. Wao wakasema nao wanaidai kwenye taasisi iliyoikata pesa hiyo. Ni mwezi wa tano leo sijaipata pesa hiyo.
Pia kuna wakati nilipigwa faini barabarani kwa kuzidisha spidi ya gari. Nilivyoandikiwa control number, ilionesha jina la mmiliki wa awali wa gari, wakati nilishabadili umiliki TRA. Nilijiuliza kwa nini mifumo hii haisomani? Au kuna kitu kipo nyuma ya pazia hatukijui?
Nashawishika kuamini kuna hujuma kubwa sana inafanywa kwenye hii mifumo na huenda kuna vigogo wa siri hii.
Kwa hali ilivyo, ni Rais pekee ndiye anaweza kufanya kitu. Badala ya kuagiza wanaosimamia mifumo hii wachunguze, anapaswa kuagiza watu wa usalama wa taifa wafanye kazi hiyo. Ikibidi watafute wataalamu wa nje kama vile Israel kuwasaidia. Vinginevyo watu watakuwa wakitakatisha pesa tu na hatuwezi kuwajua.
Pia soma: DOKEZO - Serikali inapata hasara ya mabilioni kwa watumiaji wa mifumo ya TEHAMA kulipia huduma isiyoendana na kiasi cha fedha kilicholipwa
Mifumo inachezewa na watu waliopo ndani ya mifumo na Si vyovyote vileHAO HAO wametoka familia Masikini TU
Kunahitajika vitu viwili kwanza skills za kuchezea mifumo ya serikali, pili ujasiri wa kuichezea serikali. Ndo nakuambia kama wapo ni wachache sana na lazima watumike na kiongozi wa taasisi husika. Vijana wa It, wahasibu, hr, graduates wengi wanahitaji nafasi ya utendaji kubadili kilichopo kwenye makaratasi kuwa uzoefu. Wengi hawana skills za kuchezea mifumo ya serikali malipo yaende pengine. Ndo uhalisia.Basi endelea kufikiri, unawakumbuka wale wa Chuo X ambao walichekecha wakawa wanasoma bure mpaka waliposhtukiwa baaadae na HAO SIO kwamba walikua mtaani walikua Chuoni, HAPO unasemaje?
NOTHING IS IMPOSSIBLEMifumo inachezewa na watu waliopo ndani ya mifumo na Si vyovyote vile
NOTHING IS IMPOSSIBLE AU MPAKA MSIKIE WAMEKAMATWA? NDIO VICHWA VYENU VINAFUNGUKA?Kunahitajika vitu viwili kwanza skills za kuchezea mifumo ya serikali, pili ujasiri wa kuichezea serikali. Ndo nakuambia kama wapo ni wachache sana na lazima watumike na kiongozi wa taasisi husika. Vijana wa It, wahasibu, hr, graduates wengi wanahitaji nafasi ya utendaji kubadili kilichopo kwenye makaratasi kuwa uzoefu. Wengi hawana skills za kuchezea mifumo ya serikali malipo yaende pengine. Ndo uhalisia.
Rais ni Taasisi na sio mtu!! Maana yake unataka kusema mifumo ipo corrupted?Rais, wetu ana uwezo, mdogo sana, wa, kuongoza,"she is, overwhelmed by sheer size of responsibility of governing"Mambo ya security, uchumi, uharifu, nk, yote haya, Samia,Hana uwezo, mental brain capacity ya kuyachakata, nchi inajiendea tu, maana mama, hatoi mwongozo!
Mfano mdogo tu,mwanamke mwenzie ananyanyaswa hadharani, Taasisi za, chama zinakalipia, Taasisi za, sheria zinakalipia, Mama hatii neno,ndio kwanza, anaenda kucheza "ameroa"ya kondeboy, siku ya, pili tunasikia anakwea pipa kwenda majuu,Korea! So, patheric