DOKEZO Kuna wizi unafanyika kwenye mifumo ya control number, sijui nani atachunguza labda Rais kuagiza watu wa usalama wa Taifa wachunguze

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu nawe ni expert member wa JF?
 
Bottom line huwezi kuajiri kila IT unae msomesha, hata US asilimia kubwaa hawajaariwa na serikali. Walichofanya wao ni kutengeneza mazingira ambayo yataleta ajira ziatakazo demand IT wengi. Na wengi wako private sector
Us wana rules, ukipatikana unachezew mifumo kuna adhabu uake na wako serious sana

Huku kwetu ndio tuko kwenye hatua ya kwanza ya tech revolutions. Kwa mazingira ya bongo si rahisi mtu kujiendeleza kiuchumi after chuo, after a certain time skills inaanza kuyeyuka or kugeukia uhalifu
I say si rahisi na level ya hatari ni ndogo mno
 
Huhitaji knowledge ya IT kufanya haya wanafanya hizi mambo wana work in team. Kuna watu wa benki, na mwezeshaji. Watu wa benki wana provide means, na waliko nje ya benk wana provide service. Wakikutana inakuwa hivyo

Kilichotokea arusha na mbeya ni rahisi sana kuwadaka. Benki husika, na wahusika
 
Unworking government machineries, kwasasa bodaboda zinakamatwa eti zilisajiliwa kwa jina la muuzajihapa naongezea pikipiki mpya mfano walikuwa wanaitumia jina la hajue ama Suzuki badala ya jina la mnunuzi shida inakuja unatakiwa ulipie Tena gharama za usajili kwanini wanchi waingie gharama kwasababu ya uzembe wao? Ila kwasababu jamili hawezi kuhoji matokeo yk Ndiyo km hayo
 
Inawezekana ila nadhani vijana wachache sana graduate wana huu utundu na huo ujasiri. Elimu yetu ni makaratasi zaidi. Hili suala ni hao hao wa serikalini.
 
Wachache ukimaanisha Nini?
Naamisha kwa elimu yetu tunavyoijua si rahisi kuwe na idadi kubwa ya graduates wenye uwezo na ujasiri wa kuchezea mifumo ya serikali ya malipo. Hili ni suala la experts kupitia viongozi wa serikali.
 
Ndio umekaririshwa hivyo?
Kukariri hakuko kwenye dictionary yangu, lakin pia nimefanya kazi kwenye hiyo industry since 2002, nimepata nafasi kuona IT industry bongo ikikua from kuwa worse mpaka sasa
So i najua ninacho kisema
 
Naamisha kwa elimu yetu tunavyoijua si rahisi kuwe na idadi kubwa ya graduates wenye uwezo na ujasiri wa kuchezea mifumo ya serikali ya malipo. Hili ni suala la experts kupitia viongozi wa serikali.
Basi endelea kufikiri, unawakumbuka wale wa Chuo X ambao walichekecha wakawa wanasoma bure mpaka waliposhtukiwa baaadae na HAO SIO kwamba walikua mtaani walikua Chuoni, HAPO unasemaje?
 
Kukariri hakuko kwenye dictionary yangu, lakin pia nimefanya kazi kwenye hiyo industry since 2002, nimepata nafasi kuona IT industry bongo ikikua from kuwa worse mpaka sasa
So i najua ninacho kisema
Bado haujajua au niseme ni sawa unaishi SEHEMU 1 kwa HIO umeishia kuikaririsha SEHEMU 1 unayoiishi
 
Kwa sasa maeneo yote ya Fedha mtandao kama Tigo Pesa, Mpesa nk hawataki ulipe kwa control number! Mfumo upo corrupted kwa kiwango kikubwa sana! Wanadai wakilipa malipo hayaonekani nk!!! Wapo wengine wanalipia baadaye unaambiwa malipo hayaonekani au hayajafika na mwishowe kama hukutunza ushahidi inakula kwako!

Serikali itupie jicho wizi huu wa hatari sana kwa Usalama wa nchi na UCHUMI wa Tanzania

Queen Esther
 
Basi endelea kufikiri, unawakumbuka wale wa Chuo X ambao walichekecha wakawa wanasoma bure mpaka waliposhtukiwa baaadae na HAO SIO kwamba walikua mtaani walikua Chuoni, HAPO unasemaje?
Kunahitajika vitu viwili kwanza skills za kuchezea mifumo ya serikali, pili ujasiri wa kuichezea serikali. Ndo nakuambia kama wapo ni wachache sana na lazima watumike na kiongozi wa taasisi husika. Vijana wa It, wahasibu, hr, graduates wengi wanahitaji nafasi ya utendaji kubadili kilichopo kwenye makaratasi kuwa uzoefu. Wengi hawana skills za kuchezea mifumo ya serikali malipo yaende pengine. Ndo uhalisia.
 
NOTHING IS IMPOSSIBLE AU MPAKA MSIKIE WAMEKAMATWA? NDIO VICHWA VYENU VINAFUNGUKA?
 
Rais ni Taasisi na sio mtu!! Maana yake unataka kusema mifumo ipo corrupted?

Jambo hili ni nyeti sanaaaa!! Kama kweli wewe ni MZALENDO, Nashauri tujadiliane suala hili kwa facts, figures and evidence if any; bila kumdhalilisha kiongozi wa nchi!!! Samahani lakini kama nimekukwaza!!

JF Siku hizi inataka kupoteza nafasi yake ya kuwa Sehemu muhimu ya ushauri kwa nchi sababu ya Kuweka mambo kama haya! Mtu anapost jambo muhimu, badala ya jambo kudadavuliwa ili hata kumsaidia Rais na Serikali kujiangalia kwenye kioo! Ghafla yanaporomishwa matusi kwa kiongozi na hapo watu wanapoteana na kuanza kushambuliana.

Hapo tatizo linaendelea kuchanja mbuga!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…