Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
NomaBongo akili zetu ndivyo zilivyo, mtu kulipia 15 anaona kaonewa anaamua apite na malapa akayatupie mbele kwa mbele.
Kwani kama hapa naweza kutumia itanishinda nini kutumia rangi tafauti? Wengine wazazikata na mkasi yaani hizi guest bubu basi tuMleta mada ulipania kuiba ndala hapo guest house ulipokuta hazifanani umekasirika sana.
Hii si nzuri bhana.
Duh hatari sana!Zinaibwa sana Tandika, wanaiba mpaka mataulo sabuni ya Eva na Toilet paper
πππππZinaibwa sana Tandika, wanaiba mpaka mataulo sabuni ya Eva na Toilet paper
Hiyo tabia ya wizi umenikumbusha kipindi fulani tulipokuwa msikitini. Kila tukiinama chini kutengeneza sijida basi mwizi anaiba ndala zote.Kwani kama hapa naweza kutumia itanishinda nini kutumia rangi tafauti? Wengine wazazikata na mkasi yaani hizi guest bubu basi tu
ππ Naankumbuka shule boding ukianika chupi haukutiπHiyo tabia ya wizi umenikumbusha kipindi fulani tulipokuwa msikitini. Kila tukiinama chini kutengeneza sijida basi mwizi anaiba ndala zote.
Hii βοΈ nahisi hata ELI COHEN ilishamkuta na ndicha chanzo cha kubadili dini π.
Hatari sanaMleta mada ulipania kuiba ndala hapo guest house ulipokuta hazifanani umekasirika sana.
Hii si nzuri bhana.
Vimetajwa vitu vya gesti yani umeng'enua mwenyeweπππππππ
Km wee vilee, ππππVimetajwa vitu vya gesti yani umeng'enua mwenyeweππ
Nakumbuka niliibiwa boksa wakati nasoma boarding, aisee nilianzisha fujo ambayo ilikuja kutulizwa na FFU.ππ Naankumbuka shule boding ukianika chupi haukutiπ
Moto π₯.Hatari sana