Kuna yeyote aliyepata ajira kwa kupitia 'everythingDAR'?

Eli ikibidi nitafute mtu wangu na yeyote mwingine anayepata shida na sio kwa EverythingDAR.com/ZoomTanzania.COM tu bali mwenye tatizo na submission or search kwenye site zinginezo kwani vijana tusiposaidiana wenyewe hakuna malaika wakutusaidia na pia tuelewe kuwa ...UJUZI USIOUTUMIA AU KUUFANYIA KAZI NIA SAWA NA UJUZI USIOKUWA NAO. pAMOJA DAIMA PEOPLE!!!!!!!!!!!!
 

nimekusoma ndugu na asante kwa ushauri, ila ki ukweli hata kama mail box inajaa basi inajaa mapema , mi niliwahi kutuma application siku ya tangazo yaani mda kama wa nususaa tangu limetangazwa na mambo yakawa hayohayo ya spam na madudu mengine
 
HarusiYetu thank you very much for a detailed explanation. Naona umewatetea sana EVERYTHINGDAR, nataka niuliza isnt it a good advertsiers duty to make sure what he/she is advertising for is geuine? Then how come LIVING FUND was cropped up by EVERYTHINGDAR?

Will u pls justify this one thing and i will be in favour of applying through EVERYTHINGDAR!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…