Kuna yeyote aliyewahi kufanikiwa katika kilimo cha tikitimaji?

Nikushauri ukishaamua kulimausiwe mtu wa kukata tamaa, ukiweza kufanya vitu vyote ambavyo ni ndani ya uwezo wako( mtaji, mbegu Bora, maji, madawa na mbolea) una uhakika wa kupata matokeo mazuri iwapo tu vitu ambavyo ni nje ya uwezo wako vimekaa sawa( hali ya hewa, ukame, mafurik).
  • chamsingi kingine jitahidi kufuatilia Kwa ukaribu mazao katika kila hatua hata ukiwa umetingwa omba hata picha Ili kujua mradi wako unaendeleaje.
  • ndugu yangu ukitumia mbegu Bora, maji ya kutosheleza, madawa na mbolea Kwa wakati huku tukimuomba mungu mambo ya hali ya hewa yakae sawa utatusua mnoo
Asante mkuu nitazingatia hayo
 
Mkuu me nalima mpunga, kiazi, maharagwe, kitunguu, njegere na ngano sijawahi kulima tikiti ila nina swahiba wangu huu mwaka wa 8 analima tikiti na zinamlipa sana.

Wewe itakua kuna pahala unakosea,lakn usiache kulima niamini.

Mali inapatikana shambani..
Ni wapi huko unakolima mazao yote hayo at the same time
 
Hbr za leo wapendwa,

Nauliza hvyo kwa sababu mm nimekula mweleka mara mbili bila kupata chochote.

2018 nilipeleka mbegu ivuna mkoa wa Songwe sijapata hata tunda Moja nikawa Kama nilitapeliwa sijui na mkulima wangu nikatuliaa zangu

2019 nikahamishiwa sumbawanga kikaz. Nilipo fika sumbawanga nilikuta tikiti Moja kubwa Sana kilo 16 linauzwa 2000 ikiwa shambni yanauzwa 800 had 1000 kwa moja.

Bas Katik kuuliza nikaelekezwa chimbo la kupata shamba ili na mm niende Tena kujaribu kulima ,nikapata shamba huko muzee bondeni huko ,nilikutana na mzee mmoja msukuma akanipa abcd.

Kweli akaniaminisha Sana kuhusu kulima nilikuta Ana pesa siyo haba akaniambia huku bhna heka moja ukilima hukosi milion 6 na hapo umewekeza Kia's Cha laki 600 HV ,bas nikaelewana nae nikakodi shamba Kisha nikampa hela za mbegu Kia's Cha 250,000k.na vibarua jumla 300000k

Mm nikiwa naendelee na Kaz huko mjini swax kwa kufatilia kwa simu siku moja akanimbia nishuke huko bondeni nikajionee mwenyewe bas nikachukuwa gar ya ofc faster nikatimba kufika kule na kutana na hbr za mafuriko makubwa yalizoa na shamba langu la mbegu zote zimepelekwa ziwani rukwa, bas nikawa nimerudi kinyonge ofcn kwa huzuni kwa hasara ya Kia's Cha laki 400 k ilipoteaa Tena.

DODOMA
Sasa jusi Niko zangu hapa, dodoma Kuna mam mwenye nyumba yangu analima nyanya na mboga mboga ktk eneo fln HV hapa ihumwa ,bas nikawa namtania anipe na mm shamba niweke mbogo mbog na nyanya akawa ananikataliaa akatokeaa mzee mmoja ambae tunapanga nae fremu moja ndipo yule mam mwenye nyumba yangu akaniambia kuwa huyu mzee Mr Ndio anipeleke nikalime matikit huko anajuwa mashamba yaliko

Bas kwa kuwa yule mzee Ni muongeaji Kia's nikamuomba anielekeze ndipo akanambia nikifunga ofisi niende ofisi kwake akinielekeze kuhusu kilimo hicho Cha tikiti ambacho yey imemtoa vzr na ndio inamuweka mjini hapa na Ni mfanya biashara pia wa tikiti ktk stand ya chamwino mjini Kati hapo

In short alieleza vzr Sana Hadi mm kupata mzuka kutaka Tena kwenda kulima zao Hilo huko karibu na mtera

Alisema nikiwekeza cash milion 1 uwezekano wa kupata 6m au 8m na ikiwa nimesimamia vzr basi heka hiyo itanipatia Kiasi Cha shilingi milion 12 tasilimu

Je, VIP jmn Kuna mtu humu Ni mkulima wa tunda Hilo na Kweli kwa ddm linalimikaaa? Au huyu mzee anataka akanifanye fursa Tena.

Pesa za kwenda shamb ninazo na muda upo hofu yangu je Kuna kitu kupata Kweli kwa hesabu za huyo mzee wangu mzaliwa wa kondoa [emoji849]
Wengi wanafanikiwa,lakini kilimo si kwa ajili ya kila mtu.
 
Asante mkuu nitazingatia hayo
Hiki kilimo kinatija Mkuu, kikubwa ulifahamu vizuri. Hakuna shaka kwenye kukupa Hela kikubwa uzalishe matunda shambani. Zile hesabu za kupata milioni 20 Kwa ekari, siyo dhana tu ni uhalisia usiopingika, kikubwa upate matunda shambani.

Kama upo Dodoma ni eneo zuri sana.
 
Mkuu me nalima mpunga, kiazi, maharagwe, kitunguu, njegere na ngano sijawahi kulima tikiti ila nina swahiba wangu huu mwaka wa 8 analima tikiti na zinamlipa sana.

Wewe itakua kuna pahala unakosea,lakn usiache kulima niamini.

Mali inapatikana shambani..
Itabidi unipe elimu kilimo Cha Kitunguu mkuu MAWEED
 
Hbr za leo wapendwa,

Nauliza hvyo kwa sababu mm nimekula mweleka mara mbili bila kupata chochote.

2018 nilipeleka mbegu ivuna mkoa wa Songwe sijapata hata tunda Moja nikawa Kama nilitapeliwa sijui na mkulima wangu nikatuliaa zangu

2019 nikahamishiwa sumbawanga kikaz. Nilipo fika sumbawanga nilikuta tikiti Moja kubwa Sana kilo 16 linauzwa 2000 ikiwa shambni yanauzwa 800 had 1000 kwa moja.

Bas Katik kuuliza nikaelekezwa chimbo la kupata shamba ili na mm niende Tena kujaribu kulima ,nikapata shamba huko muzee bondeni huko ,nilikutana na mzee mmoja msukuma akanipa abcd.

Kweli akaniaminisha Sana kuhusu kulima nilikuta Ana pesa siyo haba akaniambia huku bhna heka moja ukilima hukosi milion 6 na hapo umewekeza Kia's Cha laki 600 HV ,bas nikaelewana nae nikakodi shamba Kisha nikampa hela za mbegu Kia's Cha 250,000k.na vibarua jumla 300000k

Mm nikiwa naendelee na Kaz huko mjini swax kwa kufatilia kwa simu siku moja akanimbia nishuke huko bondeni nikajionee mwenyewe bas nikachukuwa gar ya ofc faster nikatimba kufika kule na kutana na hbr za mafuriko makubwa yalizoa na shamba langu la mbegu zote zimepelekwa ziwani rukwa, bas nikawa nimerudi kinyonge ofcn kwa huzuni kwa hasara ya Kia's Cha laki 400 k ilipoteaa Tena.

DODOMA
Sasa jusi Niko zangu hapa, dodoma Kuna mam mwenye nyumba yangu analima nyanya na mboga mboga ktk eneo fln HV hapa ihumwa ,bas nikawa namtania anipe na mm shamba niweke mbogo mbog na nyanya akawa ananikataliaa akatokeaa mzee mmoja ambae tunapanga nae fremu moja ndipo yule mam mwenye nyumba yangu akaniambia kuwa huyu mzee Mr Ndio anipeleke nikalime matikit huko anajuwa mashamba yaliko

Bas kwa kuwa yule mzee Ni muongeaji Kia's nikamuomba anielekeze ndipo akanambia nikifunga ofisi niende ofisi kwake akinielekeze kuhusu kilimo hicho Cha tikiti ambacho yey imemtoa vzr na ndio inamuweka mjini hapa na Ni mfanya biashara pia wa tikiti ktk stand ya chamwino mjini Kati hapo

In short alieleza vzr Sana Hadi mm kupata mzuka kutaka Tena kwenda kulima zao Hilo huko karibu na mtera

Alisema nikiwekeza cash milion 1 uwezekano wa kupata 6m au 8m na ikiwa nimesimamia vzr basi heka hiyo itanipatia Kiasi Cha shilingi milion 12 tasilimu

Je, VIP jmn Kuna mtu humu Ni mkulima wa tunda Hilo na Kweli kwa ddm linalimikaaa? Au huyu mzee anataka akanifanye fursa Tena.

Pesa za kwenda shamb ninazo na muda upo hofu yangu je Kuna kitu kupata Kweli kwa hesabu za huyo mzee wangu mzaliwa wa kondoa [emoji849]
You should lower your expectations daktari...farming kama ilivyo kwa biashara nyingi will give you realistic margins around 30% to 50% on costs!

Fewer times unaweza kupata 100% margins on costs.

Ni ndoto za alinacha kuweka 600k na upate revenue ya 6m ambayo ni margin ya 900% on costs.

Elewa kwamba farming ni profession ambayo sharti utimize parameters zake ndiyo utatoboa...kama ingekuwa ni rahisi kama wanavyosema akina Mr Kuku basi vijijini kungejaa matajiri!
 
Back
Top Bottom