Kuna yeyote aliyewahi kufanikiwa katika kilimo cha tikitimaji?

Asante mkuu nitazingatia hayo
 
Ni wapi huko unakolima mazao yote hayo at the same time
 
Wengi wanafanikiwa,lakini kilimo si kwa ajili ya kila mtu.
 
Asante mkuu nitazingatia hayo
Hiki kilimo kinatija Mkuu, kikubwa ulifahamu vizuri. Hakuna shaka kwenye kukupa Hela kikubwa uzalishe matunda shambani. Zile hesabu za kupata milioni 20 Kwa ekari, siyo dhana tu ni uhalisia usiopingika, kikubwa upate matunda shambani.

Kama upo Dodoma ni eneo zuri sana.
 
Itabidi unipe elimu kilimo Cha Kitunguu mkuu MAWEED
 
You should lower your expectations daktari...farming kama ilivyo kwa biashara nyingi will give you realistic margins around 30% to 50% on costs!

Fewer times unaweza kupata 100% margins on costs.

Ni ndoto za alinacha kuweka 600k na upate revenue ya 6m ambayo ni margin ya 900% on costs.

Elewa kwamba farming ni profession ambayo sharti utimize parameters zake ndiyo utatoboa...kama ingekuwa ni rahisi kama wanavyosema akina Mr Kuku basi vijijini kungejaa matajiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…