Kuna yeyote anayefatilia Opportunity hii ya EACOP online learning platform?

Kuna yeyote anayefatilia Opportunity hii ya EACOP online learning platform?

Njoo apa malindi nakunywa safari kubwa, nikupe ushauri mzuri wa opportunities za mitandaoni utapiga pesa mpaka uzikimbie
 
Mimi nimeshafeli tayari.
ila hawa wajinga kweli kweli...wameuliza swali ambalo maelezo hayakuwemo kwenye video.
Nimerudia video mara 10 bado skuona jibu..Nikabahatisha nmekosa
Screenshot_20230611-160623_Chrome.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20230611-160623_Chrome.jpg
    Screenshot_20230611-160623_Chrome.jpg
    106.6 KB · Views: 24
Mimi nimeshafeli tayari.
ila hawa wajinga kweli kweli...wameuliza swali ambalo maelezo hayakuwemo kwenye video.
Nimerudia video mara 10 bado skuona jibu..Nikabahatisha nmekosaView attachment 2654020
Punguza wenge kaka, najua kidogo kuhusu iyo platform. Transcript yako baada ya kumaliza kozi itajumuisha alama zile kuanzia algebraic expressions ulizoanza kujifunza na kuendelea.
Focus na kozi mzee, hizo alama za ukaribisho zinakupa dira juu ya mradi, jaribu kuujua sana mradi kwani ukifaulu hii kozi probably utaulizwa maswali kuhusu mradi kwenye usaili wa ana kwa ana.
 
Back
Top Bottom